fahamu "route" za gari yako ya biashara


mjapanimweusi

mjapanimweusi

Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
21
Likes
8
Points
5
mjapanimweusi

mjapanimweusi

Member
Joined Feb 11, 2019
21 8 5
Habari,

Tunaunda na kufunga system ambayo itaweza kutambua route ambazo gari yako imefanya kwa siku au mwezi.

Kupitia system hii utaweza
*kujua route ambazo gari yako imefanya kwa siku au mwez
*kujua gari yako iko wapi kwa wakati husika
*kupiga picha ndani ya gari
*kurecord video au sauti ya ndani ya gari
*kupiga picha ndani ya gari
*kusaidia kutafuta gari yako ikíibiwa

Simu yako ya mkononi itaunganishwa na mfumo huu,ili uweze kupata taarifa zote kiganjani.

Pia taarifa hz zote zitatunza ktka database yetu kwa mahtaji ya baadae.

Pia tunadesign security mbalimbali za kielectronics kwa vyombo vya moto na majumbani.

Bei ya system ndogo inaanzia 500,000/

KARIBUN TUPO MACHINGA COMPLEX
 

Forum statistics

Threads 1,262,357
Members 485,558
Posts 30,121,100