Fahamu: Nyoka mwenye sumu Kali zaidi duniani

Fahamu: Nyoka mwenye sumu Kali zaidi duniani

Nauza dawa ya sumu ya nyoka aina zote, napatikana Gongolamboto... kwa maelezo zaidi njoo PM
Siku hizi kuongopa tabu wapo nyoka wanajulikana ukipata bahati mbaya umekwisha no ant dote
 
Kiumbe mwerevu kuliko Wote duniani.

Anaijua vema siri ya tunda la mti wa Kati tangu dunia hii imeumbwa[emoji12]
Unadhani Adam na Eve wangekuwa wachina hako kanyoka kangekuwepo? wangekuwa wameki soup zamani tu
 
belchers sea snake,ndio nyoka mwenye sumu Kali duniani tone moja linauwezo wa kuua watu 1800.
 
Usitudanganye. Black Mamba hana mfano wa Jambo jingine kwenye kung'oa uhai na siamini Kama Kuna mwingine zaidi yake.
 
Habari ingine hiyo ndude
FB_IMG_16259466992958933.jpg
 
Back
Top Bottom