Fahamu: Nyoka mwenye sumu Kali zaidi duniani

Fahamu: Nyoka mwenye sumu Kali zaidi duniani

Nyoka kama huyu tulimuuwa site.....
ngoja nitafute picha yake niweke hapa
 
Sema Mungu ni Fundi na anajua kupangilia viumbe vyake, kuna yule nyoka mwingine anaitwa water snake yeye yupo sana kwenye maji baridi sana kwenye maziwa na mito.

Haka nako kwenye top ten ya nyoka hatari kamo ni mkubwa kuliko huyo Sea snake ila na yeye pia ni mpole mpole.

Huyu nilishamshuhudia kwa macho yangu alimpa dozi muhuni mmoja alikua anavuta bangi ziwani alilia siku ikabid wa mwambie akae humo humo majini ili dokta aitwe.

Huyo muhuni alikufa baada ya mwezi hivi ko hyo inshu ilituogopesha kwenda ziwani [emoji23][emoji23].
Bangi anaivutia ndani ya maji na ikambangua kweli
 
Hyo ni list ya Australia tu ila top 5 kidunia Black Mamba yupo View attachment 1817602
Ulicho google Ni tofauti na tunachojadili au kumzungumzia.

Ulichogoogle wewe Ni
"deadliest snake in the world"

Maana Ake Ni
"Nyoka HATARI zaidi kwa maisha ya binadamu"

Hapo Kwenye list yako,
Umeletewa list ya Nyoka walioua watu wengi zaidi duniani.

Ni Kama vile uambiwe
Mnyama HATARI zaidi kwa binadamu duniani uambiwe Ni KIBOKO,
Afu uanze kulalamika kwanini Simba na chui hawajatajwa.

Kinachojadiliwa humu Ni Nyoka mwny sumu Kali zaidi duniani.
"Highly toxic venomous snake in the world"

Maana Ake,
"Nyoka wenye sumu Kali Zaid duniani"

Na Kwenye list ya Nyoka wenye sumu Kali zaidi duniani Ni wachache mno wanaokutana na binadamu kwenye hekaheka za Kila sikU,
hivyo kua sio hatarishi zaidi kwa binadamu kwenye maisha ya Kila siku.

Hao black mamba Wako Kwenye mazingira ya watu Kila mara,
Na ugomvi wake Lazima kieleweke ndo maana Ni HATARI kwa binadamu
 
Sumu ya nyoka ipo kwenye gland,, haina direct contact na blood,, and inakuwa released as defensive mechanism response hyo iko triggered na nervous system,, ila hyo sumu yake akidungwa nayo mwenyew anakufa,, gland ya sumu za nyoka ziko connected na fangs zao for striking
Hapa uniweke sawa,mbona black mamba anawinda kwa kuyadunga mawindo yake sumu halafu anayala inakuwaje sumu yake hamdhuru ilhali simu yenyewe inapungua tumboni mwake?
 
Swali la nyongeza..... Hivi inakuwaje hiyo sumu ya nyoka haimuathiri mwenyewe ikiwa ndani ya mwili wake ?

Kwa sababu hiyo sumu haipo katika mfumo wake wa damu bali huwa inahifadhiwa katika glandi maalumu na hutoka huko kuingia kwenye mwili wa anayeng'atwa kupitia virija vilivyo katika meno...

Ukiacha hilo, pia nyoka huwa na antidote mahsusi kwa ajili ya ku neutralize sumu yao endapo ikitokea imeingia kwenye mfumo wao wa damu...
Antidote hii hufanya kazi kama vile tu immune system ya wanadamu inavyofanya kazi kwenye kuzuia maambukizi ya vijidudu inavyovijua genetiki yake...
 
kuna kile kinyoka cha majini kinaitwa sea snake kinaumbo dogo dogo tu lakin sumu yake sio ya nchi hii.Nilisoma mahali kuwa ndo kanaongoza kuwa na sumu kali na hatari kuliko vinyoka vyote.

Sumu yake inauwezo wa kuua binadamu 500 n.k kwa wakati mmoja kama wasipo pewa huduma haraka.

Good news ni kuwa haka kajamaa hakana tabia ya kushambulia watu hovyo labda ukachokoze mwenyewe.Ukikutana nako wala hata hakana tyme na wewe hakaoni sababu ya kuharbu sumu yake kwa limtu likubwa ambalo haliwezi kummeza.

Kwa taarifa zaidi ingia YouTube ama google
Nyoka wa kwanza kwa sumu kali duniani ni huyo Inland Tapain
 
Na kwenye orodha ya Nyoka 10 wenye sumu kali Dniani hakuna Nyoka mweusi wala wa kijani.

Sasa utamsikia Mbongo anakwambia Nyoka wa kijani ni hatari sana, ana sumu kali sana....sijui wanatoaga wapi?
 
Hapo bado kuna wanaojua kutafta ela wanamkamata kwenda kufuga
 
Eee Mungu niepushe na kiumbe hiki nakiogooa balaaaa awe na sumu au asiwe nayo
 
Back
Top Bottom