Fahamu namna ya kutengeneza lamba lamba za matunda

Za matunda ni bei moja 300 mpaka 500 natengeneza kwa order malum.
Za ubuyi ukwaju natengeneza kila siku nauza sh mia.
Hizi nso zina mzunguko mkubwa sana na cost yake ni ni rahisi unaweza ni pm nikakuambia kiundani sana
Mkuu samahani.je mfano hua unatumia matunda kias gani kutoa idadi ya ice cream labda kwanzia mia nk?
Je cost ikoje yakutengeneza hizi matunda ukilinganisha na kawaida kama za ubuyu,maziwa nk?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LAMBA LAMBA ZA PARACHICHI NA MAZIWA :
Mahitaji:
Parachichi 1 kubwa kiasi 1/2

kikombe cha sukari Kopo 1 kubwa

maziwa mepesi ya ( LUNA EVAPORATED MILK ) 1/2 kikombe maji

Maelezo: Katika bakuli kubwa, changanya iliyosagwa parachichi, sukari,maziwa, na maji. Koroga mpaka sukari iyeyuke kabisa. Ongeza sukari zaidi kama ni lazima. Kumbuka kwamba utamu utapungua mchanganyiko ukiganda. Jaza mchanganyiko katika mifuko au vikopo na weka na vijiti katika vikopo. Gandisha katika freezer masaa 4 hadi 6. Baada ya hapo tayari kuliwa. View attachment 1186453MAZIWA YA KOPO YA LUNA YANAPATIKANA MADUKANI NA SUPER MARKETS. Enjoy

source Instagram
I'm cm cm x. 1Z 9



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom