Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,666
Sijalapo hivo vya custard ya habibty nimeonja vya nazi tu nikivipika mi hata sivili...ukivitaja tu naona vitam hivo vya custard....Nipe receipe nitavijaribu!!Shoga mie vikitiwa custard na kukolea hiliki nala sana tu...mpishi wenyewe awe mama angu
kumbe kuna vya unga wa muhogo pia? mi nilidhani ngano pekee.....Usijali....vya unga wa muhogo au unga wa ngano?
mi sijawahi kula ila navitamanije!hivo mi sivipendagi najihisi ka nakula unga mbichi...wanaitaga vitobosha pia nadhani!!ftari hizoo....
Farkhina
Kweli nimekuwa mzee lakini bado ninakumbuka sijawa na uzee huo
Vipi ile nyama niliyokuuliza inayotolewa kwenye harusi za waarabu, huwa kama imekaushwa na tangawizi na thoum bado hujapata nafasi ya kuniandikia?
samahani kama nitakuwa ninasumbuwa, kwani uliniambia utaandika baadae nami nimo kwenye kusubiri
Sijalapo hivo vya custard ya habibty nimeonja vya nazi tu nikivipika mi hata sivili...ukivitaja tu naona vitam hivo vya custard....Nipe receipe nitavijaribu!!
Shkamoo babu....ntakuekea babu yangu fanya subra...
kumbe kuna vya unga wa muhogo pia? mi nilidhani ngano pekee.....
tuanze na ngano... process si ni hiyo hiyo?
usinitie kapuni, ngoja nitafute ugoro kwani huo ndio utakaonikumbusha
Si vyatengenezwaga vya unga wa mchele pia ati ehh?Upishi ni vile vile kama vya nazi ispokua tu una weka na custard..
Si vyatengenezwaga vya unga wa mchele pia ati ehh?
Meno yenyewe mawili ugoro huo shauri yako...
yaaani kwa jinsi nlivyo busy jiko sijaliona mda murefu sana nikasema ngoja niingie jf chef japo nle kwa macho wawekee na chatne mamiii kachori tamu sana
Hapana mama ni vitobosha vya unga wa mchele baadala ya kutumia unga wa ngano unatumia unga wa mchele!!Ila tofauti ni kwamba huo unga wa mchele unausonga na maji kama ugali vile ili ushikane!!!Then wavisokota kama kawaida....na huvichemshi kwasababu unakuwa ushausonga huo unga,umepikika yaani!mimi49 atakuwa anazungumzia vibibi kama unavijua
Hapana mama ni vitobosha vya unga wa mchele baadala ya kutumia unga wa ngano unatumia unga wa mchele!!Ila tofauti ni kwamba huo unga wa mchele unausonga na maji kama ugali vile ili ushikane!!!Then wavisokota kama kawaida....na huvichemshi kwasababu unakuwa ushausonga huo unga,umepikika yaani!
Vibibi ni jamii ya chila lakini unavimwagia tui la nazi lilochemshwa na iliki,sukari mpaka likawa zito na kukazana!!Na bongo vibibi vinachomwaga kwenye kigae cha udongo!!