Cheo cha mtawala mfano mangi sina, Mangi Meli, Mangi MarealleWanaposema 'mangi' wanamaanisha nini? Mana nimeskia sana maeneo hasa ya DSM,tanga,moshi mjin,Moro,hata kanda ya ziwa pia wakiita wenye maduka ambao ni wachaga kuwa ni 'mangi'
OK. Kumbe ni sawa na unaposema mtemi au chifu. Nimekupata sawiaCheo cha mtawala mfano mangi sina,mangi meli,mangi marealle
Kwanini?Wamarangu hupenda kusifiwa na kujiona matajiri.Ila hawa wa siku hizi ni bure kabia.Sio wa kiume wala wa kike.Wote bure kabisa! Warombo wamewashinda kwa ujinga wenu
Marangu ni kama wahaya. Sifa kibao. Halaf si wachakarikaji.Wamarangu hupenda kusifiwa na kujiona matajiri.Ila hawa wa siku hizi ni bure kabia.Sio wa kiume wala wa kike.Wote bure kabisa! Warombo wamewashinda kwa ujinga wenu
Sawa Mkuu.Marangu sio MJI
Think harder
Unaposema Wamarangu tujue ni wa wapi, wa Mashariki au Magharibi. Pili huwezi fananisha Wilaya na Kata. Yani Rombo ni Wilaya na Marangu ni Kata. Labda ufananshe Rombo na MoshiWamarangu hupenda kusifiwa na kujiona matajiri.Ila hawa wa siku hizi ni bure kabia.Sio wa kiume wala wa kike.Wote bure kabisa! Warombo wamewashinda kwa ujinga wenu
Huezi fananisha Wamarangu na Wahaya. Labda Wahaya na Wachaga apo sawa. Kaa ukijua Marangu ni Kata tuu, labda upande mwingine useme wa Vunjo na Wahaya japo haileti maana sababu pia wa vunjo ni wachaga na ipo na kata nyingine pia sio Marangu tu ingekua wa Marangu hawapigi kazi wasinge trend hvyo. We jiulize kata mbili tu lakini inashindanishwa na wilaya.Marangu ni kama wahaya. Sifa kibao. Halaf si wachakarikaji.
Wachaga wapo rombo.. kibosho.. hizi sehem mbili wanapiga kazi kama punda. Na mafanikio yanaonekana
Marangu MagharibiUmesomeka!!
Sembeti ipo Kata ipi??
Marangu MagharibiUmesomeka!!
Sembeti ipo Kata ipi??
Hajui kitu huyo. Tafuta kata yoyote ya kijijini Tanzania zenye wazawa kama sio East Africa. Narudiaaa Kata ya Kijijini na wala sio kufanansha na wilaya au mji mdogo yenye maendeleo kama Marangu Mashariki na magharibi kwa mbali ambao wanakimbia ni kata za Kibosho na baadhi kata za Machame zilizo Wilayani Hai.Kwanini?
Ila mkuu rombo sindo kuna wanaume walevi mpaka wanashindwa kuwa nyandua wake zao au!Marangu ni kama wahaya. Sifa kibao. Halaf si wachakarikaji.
Wachaga wapo Rombo, Kibosho. Hizi sehem mbili wanapiga kazi kama punda. Na mafanikio yanaonekana
Kwendrwaaaaaaaaaaaaaa huko!Hajui kitu huyo. Tafuta kata yoyote ya kijijini Tanzania zenye wazawa kama sio East Africa. Narudiaaa Kata ya Kijijini na wala sio kufanansha na wilaya au mji mdogo yenye maendeleo kama Marangu Mashariki na magharibi kwa mbali ambao wanakimbia ni kata za Kibosho na baadhi kata za Machame zilizo Wilayani Hai.
Unapokwama ni kufananisha Wilaya na Kata. Marangu ni Kata na Rombo ni Wilaya. Tafuta Kata ndani ya Wilaya ya Rombo fananisha na Marangu. Hiyo Kibosho pia ni Habari ya mujini sema Marangu itasimama vilevile tangu enzi za mzee wetu Mariale nazani unajua hiloWamarangu ni zamani siku hizi warombo na wakibosho ndio habari ya mujini!
halafu wanawake wenu wawe walioolewa au hawajaolewa ni aibu tupu kwa ufuska!
We umefika Marangu lin? Usikute umeishia Kilema, Mamba au Mwika maana nao wamejisahau wanajiita Marangu afu ndo wanaharibu sana sifa ya Marangu. Soma post vizur, Nimesahihisha Marangu sio Kijiji wala mji ni Kata yenye Vijiji ndani yake.....Kwendrwaaaaaaaaaaaaaa huko!
marangu kuna zile nyumba zile zile zimeongezeka chache mno!
Ubishoo ndio umekuwa jadi yenu!
Kwanza kumbuka marangu sio mji na hakuna mji we boya.