Fahamu makabila yaliyotoa wasomi wengi nchini

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,257
Reaction score
3,905
Huu kwa mujibu wa utafiti wa kabila zilizotoa wasomi wengi nchini tanzania.

1.wahaya wanapatikana mkoani kagera wakitokea bukoba na sehemu zingine za mkoa huoo

2.wagitaa wanapatikana wilaya ukerewe na musoma mjini na vijini mkoani mara

3.wachaga mkoani kilimanjaro wa wilaya ya moshi mjini,marangu,hai na sehemu zingine

4.wanyakyusaa mkoani mbeya wapo haswa wilaya ya kyela,songwe na zinginezo.

5.wakurya mkoani mara wilaya ya tarime na serengeti

6.wajaluo mkoani mara wilaya ya rorya na serengeti pia

7.wangoni wanatokea mkoa wa ruvuma

8.wapare wanatokea mkoa kilimanjaro wilaya ya same.

9.wasukuma hawa wapo mwanza na shinyanga

10.wanyamwezi hawa wanatokea mkoani tabora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4.wanyakyusaa mkoani mbeya wapo haswa wilaya ya kyela,sogwe na zinginezo.

5.wakurya mkoani mara wilaya ya tarime na serengeti

6.wajaluo mkoani mara wilaya ya rorya na serengeti pia

7.wangoni wanatokea mkoa wa ruvuma

8.wapare wanatokea mkoa kilimanjaro wilaya ya same.

9.wasukuma hawa wapo mwanza na shinyanga

10.wanyamwezi hawa wanatokea mkoani tabora

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanyakyusa wapo Wilaya ya Songwe? Tena Songwe yenyewe imeandikwa sogwe! Mahali Tabora imeandikwa tabora! Be serious please.
Anza ku program kwenye C++
 
Huu kwa mujibu wa utafiti wa kabila zilizotoa wasomi wengi nchini tanzania.

1.wahaya wanapatikana mkoani kagera wakitokea bukoba na sehemu zingine za mkoa huoo

2.wagitaa wanapatikana wilaya ukerewe na musoma mjini na vijini mkoani mara

3.wachaga mkoani kilimanjaro wa wilaya ya moshi mjini,marangu,hai na sehemu zingine

4.wanyakyusaa mkoani mbeya wapo haswa wilaya ya kyela,songwe na zinginezo.

5.wakurya mkoani mara wilaya ya tarime na serengeti

6.wajaluo mkoani mara wilaya ya rorya na serengeti pia

7.wangoni wanatokea mkoa wa ruvuma

8.wapare wanatokea mkoa kilimanjaro wilaya ya same.

9.wasukuma hawa wapo mwanza na shinyanga

10.wanyamwezi hawa wanatokea mkoani tabora

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitoa namba 3 na 8 hao wanaobaki ndio waliotufikisha hii nchi yetu kuwa ya hovyo hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanyakyusa wapo Wilaya ya Songwe? Tena Songwe yenyewe imeandikwa sogwe! Mahali Tabora imeandikwa tabora! Be serious please.
Anza ku program kwenye C++
Ila pia huu mpangilio unahitaji facts za kitafiti. Kwa wahaya kuongoza haina ubishi na ina historia yake lakini mtiririko kwa makabila mengine inahitaji facts za kitafiti. Mfano wajita na wachanga hapo kuna walakini yupi ni namba 2.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wasomi wenyewe sifuri tu,sasa wamefanya nini cha maana mpaka leo hii?labda kizazi hiki cha dot com wanaweza fanya mabadiliko.
 
Back
Top Bottom