| Ziwa la Viktoria Nyanza | |
|---|---|
|
Ziwa Viktoria Nyanza jinsi linavyoonekana kutoka angani | |
| Mahali | Afrika ya Mashariki |
| Nchi zinazopakana | Tanzania, Uganda na Kenya |
| Eneo la maji | 68,100 km² |
| Kina cha chini | 81 m |
| Mito inayoingia | Kagera, mto Katonga, mto Nzoia n.k. |
| Mito inayotoka | Nile |
| Kimo cha uso wa maji juu ya UB | 1,134 m |
| Miji mikubwa ufukoni | Kampala, Kisumu, Mwanza |
Mto Naili nao unamwaga wap maji baada yakumwagiwa na ziwa Victoria. Hapa ndioo ndio unapoona uumbaji wa MUNGUU
Asante sana mkuu kwa nyongeza kubwa kuliko.Ziwa Viktoria
Jump to navigationJump to search
Ziwa la Viktoria Nyanza
Ziwa Viktoria Nyanza jinsi linavyoonekana kutoka anganiMahali Afrika ya Mashariki Nchi zinazopakana Tanzania, Uganda na Kenya Eneo la maji 68,100 km² Kina cha chini 81 m Mito inayoingia Kagera, mto Katonga, mto Nzoia n.k. Mito inayotoka Nile Kimo cha uso wa maji
juu ya UB1,134 m Miji mikubwa ufukoni Kampala, Kisumu, Mwanza
Ziwa Viktoria na Bonde la Ufa la Afrika Mashariki.
Ongezeko la msongamano wa watu kandokando ya Ziwa Victoria.
Lugha kandokando ya Ziwa Victoria.
Tofauti ya levo katika Ziwa Victoria.
Ziwa Viktoria (pia: Ziwa Nyanza au Ziwa Ukerewe) ni ziwa kubwa la Afrika ya Mashariki lililopo baina ya Tanzania, Kenya na Uganda. Eneo la maji ya ziwa limegawanywa 49% (km2 33,700) nchini Tanzania, 45% (km2 31,000) nchini Uganda, na 6% (km2 4,100) nchini Kenya.
Ziwa Viktoria lipo mita 1134 juu ya usawa wa bahari na lina eneo la kilometa za mraba zaidi ya 68,100. Hivyo ni ziwa kubwa kuliko yote barani Afrika, na la pili duniani, baada ya Ziwa Superior ambalo lipo Amerika ya Kaskazini.
Ziwa hili linapata maji yake mengi kutokana na mvua (80%) na kutoka vijito vingi vidogo. Mto mkubwa unaoingia Viktoria ni Mto Kagera unaotiririka kutoka magharibi.
Maji ya ziwa Viktoria yanatoka na kumiminika kwenye mto Nile na kuelekea bahari ya Mediteranea kwa umbali wa maili 4,000.
Ziwa hilo lina kina cha wastani cha mita 40 na mwambao wa urefu wa kilomita 4,828, visiwa vyake vikiwa vimechangia 3.7% ya urefu huu.
Ziwa hilo liliwahi kukauka kabisa mara kadhaa tangu lilipoanza miaka 400,000 iliyopita.
Yaliyomo
Visiwa vya Ziwa Viktoria[hariri | hariri chanzo]
Ziwa Viktoria ni miongoni mwa maziwa yenye visiwa vingi (985). Kikubwa kuliko vyote ni Ukerewe.
Upande wa Kenya[hariri | hariri chanzo]
Bihiri * Chamarungo * Daraja * Gengra * Hongwe * Ilemba * Kijani * Kimaboni * Kiringiti * Kiwa * Koyamo * Mageta * Magogo * Maiunya * Mbaiyu * Mbasa * Mfangano * Migingo * Mlinzi * Mogare * Mogare (visiwa) * Mzenzi * Namulamia * Ndede * Ngodhe * Piramidi * Risi * Rusinga * Saga * Seki * Sifu * Sirigombe * Sukuru * Sumba * Takawiri * Visiwa vya Ugingo * Unyama * Usingo * Uware * Wahondo * Wayaga * Yalombo * Yamburi
Upande wa Tanzania[hariri | hariri chanzo]
Barega *Bihila * Bisuvi *Biswe * Buganbwe * Bugeru * Bukerebe * Bukurani * Bumbire * Burubi * Busonyi * Busyengere * Butwa * Buzumu * Bwiru * Chakazimbe * Charaki * Chienda * Chihara * Chikonero * Chinyeri * Chitandere * Dunacheri * Dwiga * Galinzira (Kagera) * Galinzira (Ukerewe) * Gama * Gana * Ijirambo * Ikuru * Ikuza * Iriga * Iroba * Irugwa * Iruma * Itami * Itemusi * Ito * Juguu * Juma * Kagongo * Kamasi * Kaserazi * Kasima * Kategurwa * Kiamugasire * Kiau * Kibinda * Kihombe * Kinamogwishu * Kinyanwana * Kiregi * Kireta * Kishaka * Kitua * Kivumba * Kome * Kuriro * Kweru * Kweru Mutu * Kwigari * Kwilela * Liagoba * Liegoba * Luanji * Lukuba * Lyamwenge * Mabibi * Mafunke * Maisome * Makibwa * Makome * Makove * Malelema * Maremera * Masakara * Masheka * Masuha * Mazinga * Mgonchi * Miganiko * Mijo * Morova * Mraoba * Msalala * Mtenga * Mtoa * Mtoto * Musira * Mwengwa * Nabuyongo * Nafuba * Nakaranga * Namatembe * Namguma * Ndarua * Nyabugudzi * Nyaburu * Nyajune * Nyakanyanse * Nyakasanga * Nyamasangi * Nyambugu * Nyamikongo * Nyanswi * Raju * Ramawe * Rubisho * Rubondo * Runeke * Ruregaja * Rwevaguzi * Saanane * Sara * Sata * Seza * Shuka * Siawangi * Sina * Sizu * Songe * Sosswa * Sozihe * Tefu * Ukara * Ukerewe * Usumuti * Vsi * Vianza * Wambuji * Yarugu * Yodzu * Zeru * Zimo * Zinga * Ziragura * Zue
Upande wa Uganda[hariri | hariri chanzo]
Baga, Banda, Batwala, Bu, Bubeke, Bubembe, Bufumira, Bugaba, Bugaia, Bugala (lat -0,32, long 32,24), Bugala (lat -0,64, long 32,31), Buiga (Mpigi), Buiga (Wakiso), Bukasa, Bukone, Bukwaya, BulagoBulanku, Bulingugwe, Bunjako, Bunjazi, Bunyama, Bussi, Busungwe, Buturume, Buvu, Buvuma, Buyange, Buyovu, Buziranjovu, Buziri, Bwema, Bwigi, Dagusi, Damba, Dinzira, Duweru, Dwanga Mukulu, Dwanga Muto, Dwasendwe, Dyabalume, Funve, Galo, Ikunyu, Iramba, Isamba, Izinga, Jana, Kabaganja, Kabale, Kabuguza,Kabulataka, Kagulumu, Kaina, Kaivali, Kalambide, Kamukulu, Kamutenga, Kansove,Kaserwa, Katanga, Kayanja, Kaza, Kerenge, Kibibi, Kibibi Kaskazini, Kibibi Kusini, Kimi, Kiraza, Kiregi, Kirugu, Kisima, Kitobo, Kiwa, Komogwe, Koome, Kuiye, Kyanga, Lambu, Lebu, Limaiba, Linga, Lingira, Lolui, Lufu, Lujabwa, Lukalu, Luke, Lukiusa, Lula, Lulamba, Lulanda, Lumva, Lunfuwa, Lunkulu, Luntwa, Luserera, Luvangu, Luvia, Luwungulu, Lwabagenge, Lwabalega, Lwabana, Lwaji, Lwantete, Lyabana, Mabanda, Makalugi, Makusu, Marija, Masiwa, Masovwi, Maundu, Maungwe, Mavi, Mawe, Mayinja, Mbirubuziba, Mbive, Mbulamwalo, Meru, Mitusi, Mkovu, Mpande, Mpata, Mpuga, Mpugwe, Mpuni, Mukalanga, Munene, Musambwa, Musambwa Kusini, Musene, Mutyomu, Mwama, Mwana, Mweza, Nagembiruwa, Nainaivi, Namalusu, Namama, Namasimbi, Nambewa, Nambuga, Namite, Namubega, Nfo, Ngabo, Ngamba, Nkata, Nkese, Nkose, Nkusa (Kalangala), Nkusa (Mukono), Nkusa (Wakiso), Nkuzi, Nsadzi, Nsenyi, Nsimba, Nsinga, Nsirwe, Nsonga, Ntokwe, Nvuza, Nyenda, Nziribanje, Ramafuta, Sagitu, Sali, Samoka, Sanga (Buvuma), Sanga (Mukono) (lat -0,07, long 32,80), Sanga (Mukono) (lat 0,08, long 32,65), Segamba, Sege, Semuganja, Semuganja Omunene, Semuganja Omutono, Sentwe, Serinya, Sese, Sigulu, Simu,Sindiro, Sira, Siro, Sowe, Tavu, Visa, Vumba, Wabuziba, Waiasi, Waitwe, Yubwe, Yuweh|, Zigunga, Zigunga Pacha, Zinga, Ziro, Ziru (Buvuma) (lat -0,09, long 33,21), Ziru (Buvuma) (lat 0,05, long 32,98), Ziru (Kalangala)
Walaa c nimeona ajabuu,ilaa nimefurahiaa tu uumbaji wa MUNGU ktkt hii duniaa mkuuAjabu nini hapo, au ramani inakuponza kuwa Mediterania iko juu Viktoria lipo chini?
Mto naili nao unamwaga wap maji baada yakumwagiwa na ziwa Victoria. Hapa ndioo ndio unapoona uumbaji wa MUNGu
...
[emoji117]Linapokea maji kutoka mto Kagera, mto mara,n.k. Pia linamwaga maji yake mto Nile.
Hahahahah noma kweli
aliyeturoga kafa,yaani kumuenzi malkia wa wingereza tunabadilisha jina la wasukuma? anyway walibadilisha wazungu wakati wanatutawala,kwa sasa tunasema tuna "uhuru" kwa nini tusifute jina ilo la malkia wa mabeberu na tukapachika jina la kisukuma?? au tuite tu ziwa magufuli au ziwa kikwete
Kwa vigezo gani? Unaweza onesha source ya bandiko lako?Ngoja nizue ubishi. Si kweli kuwa ziwa Viktoria ni kubwa kuliko yote Africa bali ni la tatu. La kwanza ni ziwa Tanganyika na la pili ni ziwa Nyasa.
Mediterranean iko chini kimuuniko kwa kuwa kusini ipo juu na kaskazin ipo chini in terms of heights from seen levelAjabu nini hapo, au ramani inakuponza kuwa Mediterania iko juu Viktoria lipo chini?