Fahamu machache kuhusu titanic

Yah,inasemekana yapo mengi nyuma ya pazia,,ni vigumu kuamini ulikua uzembe

Umeongea point mkuu
 
Inadaiwa alimwambia Billy Graham kwamba yeye hamuhitaji Yesu.
Duuuh. Halafu alifariki angali msichana mdogo. Hata aliyemuua haijafahamika ingawa kuna specs nyingi juu ya kifo chake.
 
Kuna huyu wa kwetu kwa sasa, yeye anaamini ni Very Perfect human being and even enough to lead angels. Na anaweza kufanya chochote juu ya mtanzania yoyote pasipo mtu yoyote kumzuia.

Sisi tunamuachia Mwenyezi Mungu amfundishe adabu mwenyewe.
Mwisho wa the man from chattle utakua mbaya
 
Duuuh. Halafu alifariki angali msichana mdogo. Hata aliyemuua haijafahamika ingawa kuna specs nyingi juu ya kifo chake.
Hakika alikua mzuri,,kina J.F kennedy walifaidi
 
Kutoka April 1912kuzama kwake na cku ya uziduzi wa may 1911 na miaka ya kutengenezwa ama kwel mungu ni mkubwa sna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…