Iphone Kwa pixel Ajipange vizuri sanaWanaotumia iphone wanajikuta wao ndio freemason kumbe hakuna kitu ni vile tu kampuni ya iphone imeweza kuwateka wateja wake kisaikolojia kwa kuwaproud kuwa wao ni special!!.
Hata ukitaka mvuta mtoto wakike msifie ajione yeye ni special chap tu unampeleka ghetto..[emoji23]
Android unaweza kusave vitu vyako google drive na ukavipata vyote kikubwa usisahau email yako na password ya email..
Kuhusu kushuka bei kwa simu zilizopita sokoni si hoja yenye nguvu,na nakushangaa maana huku mtaani watu wanazibeba hadi kwa laki na hamsini nakuendelea!..
Android ni nyepesi na ipo huru isiyo na mfumo wakunyanyasanyanyasa wateja wake,takribani apps zote unaweza kuzipata kwenye mfumo wa android,huko iphone mpo kwenye gereza na kifungo kisichofunguka!.
Kuhusu hacking usije ukajidanganya wewe member ulielewa hilo tunda la apple,ukafikiri hiyo IOS upo salama labda kama wewe sio mfatiliaji tu ila wapo hackers wazuri wanaoweza ku hack mifumo ya iOS so usijitie ushankupe..
Piga uwa galagaza iphone haimfikii google pixel kwenye quality ya picha!.
Umekaa kizembe sana babu..[emoji28]
iPhone iheshimiweš1.Security, iohone Ina security kubwa mno kiasi mtu akiiba itamchukua mda na gharama kuondoa security kwenye iphone. Tofauti na simu za android ambapo Kuna applications kibao kwa ajili ya kutoa password na lock tena cheaply.
2.Data protection. Kila kitu kwenye iphone kiko well secured kwenye icloud(picha, music,videos, files etc. Kiasi ukiibiwa simu unaweza kutumia iphone ya mtu mwingine kuretrieve data zako. Zikarudi zote kama awali. Tofauti na android ambapo ukipoteza simu ndio nitolee hiyo.
Kingine si rahisi kushare data zako na watu wengine ukiwa na iphone. Tofauti na android ambapo unaweza kurusha kupitia Bluetooth, kwenye computer,mitandaoni etc bila restrictions za aina yeyote hivyo kuifanya iphone kuwa imara zaidi na zaidi.
Depreciation value. Iphone inakaa mda mrefu bila kupoteza value tofauti na android. Example iphone ya miaka m3 nyuma bei yake ni kubwa sana kuliko bei ya simu yoyote ya android ya miaka m3. Nyuma. Android zinawahi sana kushuka thamani kuliko iphone.
Photo [emoji991] and video quality ya iphone ni bora sana kuliko simu yeyote ya android kitu kinachoongezea points iphone na kuonekana ni simu bora sana [emoji28] kwani sababu kubwa ya watu kumiliki smartphone ni hiyo.(multimedia)
Simplicity. Iphone ni rahisi kuitumia. Ukitoa lock screen tu unaenda direct kwenye home screen unaanza kutumia simu yako. Action button iko pembeni kuta touch assistant na features nyingine kibao zinazoongeza Simplicity kwenye simu.
sorry android ni invention ya nani?
Itamchukuwa muda na gharama kuondoa security? Hivi Iphone unadhani unaweza kuondoa passcode? Ukiokota au kuiba iphone yenye passcode na find my iphone iko ''on'' hutaweza kuifungua!1.Security, iohone Ina security kubwa mno kiasi mtu akiiba itamchukua mda na gharama kuondoa security kwenye iphone. Tofauti na simu za android ambapo Kuna applications kibao kwa ajili ya kutoa password na lock tena cheaply.
Unaweza ila itakutoka pesaItamchukuwa muda na gharama kuondoa security? Hivi Iphone unadhani unaweza kuondoa passcode? Ukiokota au kuiba iphone yenye passcode na find my iphone iko ''on'' hutaweza kuifungua!
Naona nimewakera watu wa Android [emoji1787] pixel anafanya poa lakini bado hamfikii iPhone kwenye photo
Iphone Kwa pixel Ajipange vizuri sana
Itoshe kusema pixel ni mfalme wa photography
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimechekaš¤£Tatizo la iPhone zimekaa kikike sana, Yaani visimu fulani ambavyo ukiwa navyo kila mtu ana uwezo kukujua ulivyo undani wako, Asilimia kubwa ya iPhone users wa hapa bongo ni watu ambao wana tamaa tamaa fulani za vitu vizuri vizuri ndo maana nikasema ni devices ambazo zimekaa kikike kwa sababu jinsia ya kike ndo watu wenye tabia za kupenda kupata vitu vizuri kwa njia nyepesi,
Kingine inamuelezea mtu kwamba anapenda attention ambayo pia ni tabia ya kike, Kupenda attention akiwa au akipita mahali... Kiufupi haina tofauti na unakuta pisi kali imevaa vizuri... imependeza kwelikweli na ukiiangalia huwezi kuamini kwamba ina Ghono, Ndo kama alivyo mwenye iphone, Unakuta mtu ana simu ya thamani ya 3m ila huwezi kujua kama hana hela ya kula.
Hilo suala nalisema kutokana na experience yangu na wahusika ninaokutana nao