Fahamu kuhusu Wahadzabe

Fahamu kuhusu Wahadzabe

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,569
Reaction score
21,075
Kama ulikua hulijui kabila la WAHADZABE wacha nikufahamishe;-
WAHADZABE ni moja ya makabila yanayopatikana nchini TANZANIA,
Kabila hili linapatikana mkoani MANYARA,
Hasa katika wilaya ya SERENGETI eneo liitwalo BONDE LA UFA kuzunguka ZIWA EYASI,
Kwasasa kabila hili lina watu wasiozidi 500,
Kabila hili lina maajabu mengi sana ya kipekee.

MAAJABU YA WAHADZABE

1) HAWAOGI MPAKA MVUA

Wahadzabe hawaogi kama binaadamu wengine,
Wao huoga pale tu ambapo mvua inaponyesha,
Mvua isipo nyesha kamwe wahadzabe hawaogi,
Wanaishi hivyo hivyo hata miezi mitatu bila kuoga,
Hufanya hivyo kwasababu wao wanaamini kuwa,
Maji yaliopo ardhini ni maalumu kwa ajili ya kunywa,
Pamoja na kuoshea nyama pamoja na mizizi tu.

2) VYAKULA VYAO

Wahadzabe chakula chao kikuu ni NYAMA na MIZIZI,
Wahadzabe wanakula MNYAMA yeyote watakae muona porini,
Ikiwemo nyani, ngedere, paka , nyoka, mbwa na kadhalika.

3) WIVU

Wahadzabe hawana wivu kabisa na mwanamke,
Yani kuchukuliana wanawake kwao ni kitu cha kawaida.

4) HAWALIMI WALA HAWAFUGI

Wahadzabe ni kabila ambalo halilimi wala halifugi,
Wao maisha yao yote shughuli yao ni uwindaji tu.

5) LUGHA YAO

Wahadzabe lugha yao niya kipekee kabisa,
Haiingiliani na lugha yeyote yaani wao sio wabantu,
Kwa hapa TANZANIA makabila ambayo siyo wabantu ni mawili,
Ambayo ni kabila la MASAI na hawa wahadzabe.

FB_IMG_17442000604508715.jpg
 
View attachment 3297872
Wana definition yao ya ichafu 😂😂
 
No5 weka na wa Iraq au waambulu
 
6) HAWACHAMBI NA MAJI

Wahadzabe wakinya au kukojoa tumii maji kabisa kuchambia,
Wao hutumia majana tu kujifuta basi nasio maji.

View attachment 3297872
Mbona hata wazungu wanatumia toilet paper tu bila maji kujichamba ndo maana mademuwa kizungu wana harufu
 
Back
Top Bottom