Kwa kiingereza inaitwa missionary style (universal).Style ni moja tu kifo cha mende, hizo nyingine mtavunjika
Kwamba unataka wote humu tuzungumzie BBC, kati ya ripoti ya BBC na Elimu ya afya kuhusu mwili wako kipi ni cha muhimu.Ifike wakati tuwe na staha. Leo BBC imetoa ripoti ya kutisha na kusikitisha ya mauaji ya kikatili ya watanzania wenzetu kutoka serya CCM.
Siyo wakati wa kuleta mada za miti na mijolobe kuvunjika.
Huu ni wakati wa huzuni.
Kuweni na huruma. Tunzeni hizi mada hadi tutakapolikomboa taifa.
adriz de mbusii
1. Anzisha uzi kuhusu hao vibaka na wezi waliokula misumari, watu watakuja huko kujadiliIfike wakati tuwe na staha. Leo BBC imetoa ripoti ya kutisha na kusikitisha ya mauaji ya kikatili ya watanzania wenzetu kutoka serikali ya CCM.
Siyo wakati wa kuleta mada za miti na mijolobe kuvunjika.
Huu ni wakati wa huzuni.
Kuweni na huruma. Tunzeni hizi mada hadi tutakapolikomboa taifa.
adriz de mbusii
The missionary position or man-on-top position is a sex position in which, generally, a woman lies on her back and spreads her legs and a man lies on top of her.Asili ya Missionary style ni nini
SAYNGAY1. Anzisha uzi kuhusu hao vibaka na wezi waliokula misumari, watu watakuja huko kujadili
2. Hatuwez kujadili vifo vya vibaka throughout the year
3. Alichokiweka mtoa mada kinaihusu jamii na ametoa msaada mkubwa kwa jamii
4. Hatufanani kama mayai, usilazimishe mawazo yako yawe yake
5. Hatuwezi kupoteza muda kuwajadili vibaka waliokufa kama vile wengne hatutakufa (wote tutakufa)
7. Nenda huko tecdema mkajadili huo ujinga wenu ambao hauna jipya
8. Hili ni jukwaa la kila aina ya mawazo, usipangie watu wajadili au wasome nini
Brother watu hao ni wakuwaonea huruma kabisa.Kwamba unataka wote humu tuzungumzie BBC, kati ya ripoti ya BBC na Elimu ya afya kuhusu mwili wako kipi ni cha muhimu.
Nyie ndio mnafanya nchi iwe na mazezeta wengi. Unalikomboaje Taifa kwa ripoti ya BBC ambayo inasahaulika baada ya siku mbili tu. Kwani ni mara ya kwanza BBC kuandika ripoti mbaya kuhusu Tanzania?
Alafu sio kila mtu ni mtu wa siasa humu, siasa tunazifanya kama tunaona kuna umuhimu wa kuzifanya kwa wakati muafaka... na sio kila muda tu kupingana pingana na mambo ya siasa au serikali.
Naing'oa nabandika ukumbusho ukutani.italipa vipi?