Fahamu kuhusu Tofali Smart. Tuwasiliane ili uboreshe biashara yako

Fahamu kuhusu Tofali Smart. Tuwasiliane ili uboreshe biashara yako

Nijosnotes

Member
Joined
Aug 1, 2021
Posts
97
Reaction score
99
Je, una biashara ya tofali za block?

Unapata changamoto hizi?
  • Kupoteza kumbukumbu za uzalishaji
  • Kutojua stock zilizopo
  • Ugumu wa kuhesabu gharama na faida
  • Kukosa ripoti za haraka na sahihi

Suluhisho ni TOFALISMART System

Mfumo huu unakusaidia:
  • Kusajili na kufuatilia aina zote za tofali
  • Kudhibiti uzalishaji, matumizi ya cement na mchanga
  • Kuhifadhi kumbukumbu za magari na gharama za usafirishaji
  • Kuona stock, mauzo, reject na faida papo hapo
  • Kupata ripoti kamili (PDF na Excel) kwa sekunde chache

Unapatikana online (kompyuta na simu), rahisi kutumia na salama kwa data zako.

Acha kufanya biashara kienyeji. Digitalisha biashara yako kwa TOFALISMART – mfumo wenye akili kwa biashara ya tofali.

Tuma ujumbe sasa ili ujipatie demo na bei rafiki.

Mawasiliano:
John.mahuwi@gmail.com
0620748068
Mwanza, Tanzania

Screenshot_20250821-150200 (1).png
 
Back
Top Bottom