Fahamu kuhusu Scania Buses VS Yutong, Kinglong, Zhongtong, Higer, Golden Dragon, Sunlong Buses

Yaah Sikupingi hapo Swedish & Germany Anga hizo ni balaa nimefanya kazi na engine aina ya MTU 369 ya Germany ambayo iko fitted katika vichwa vya treni aina ya 89 Class huwezi linganisha na EMD 710 ya mmarekani kwanzia katika Perfomance, Life span na Power kiukweli wamarekani jina tu linawabeba ila kwa tasnia ya dizeli injini ujerumani anga lingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapa kidogo kama umewakandamiza Daimler kwasababu naamini unafahamu vyema shughuli ya Benz hivi Actros inaweza linganishwa na Scania kweli achana na issues za power output ebu tuchukulie same size kwanzia No of cylinders n.k ipi iko fiti kwanzia Fuel Consptn, Power output, n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwamba nawakamdamiza Daimler, ila swedish trust me wapo vizuri

Jaribu kupitia trucknet forum, uone actors na axor, zinavyosemwa vibaya ,

Benz nyingi zipo vizuri sana kwenye fuel consuptions but ni highly underpowered,
Drive train Benz zipo vizuri sana na zimavumilia abuse , but swedish pia zipo vizuri ila haitaki abuse

Benz inafanya vizuri ikiwa mpya tu , lakini ikianza kuchoka zina complication nyingi sana, scania huwa inafanya vizuri hadi ikiwa imechoka , na ndio sababu watu wananunua 124 ya miaka ya 90 na bado pesa inarudi.

Nina evidence za kutosha za Mercedes benz nja ya songea ambazo zimesumbua kabla hata ya kumaliza mwaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari yoyote ikianza kuchoka lazima isumbue mkuu, haijalishi imetengenezwa wapi.

Umekuwa too general kusema Sweden wako vizuri over German. Ungespecify kwa kulinganisha model tofauti tofauti lazima ungekuta kuna model za German ziko vizuri kuliko za Sweden na kinyume chake ni sahihi.

Wewe mwenyewe uliwahi kuandika ile 2010 R470 ikianza kuchoka ni sumbufu hakuna mfano,

To be specific nikikuta R420 na Actross of the same specifications, Actross is way to go.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
sababu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sio kwamba napendelea swedish ila ukweli una desturi ya kusimama peke yake , nikisema swedish namaanisha Volvo na scania, zote zina karibu maisha sawa ila scania ipo kimaskini zaidi kuliko Volvo

Gari kuchoka huwa inapimwa kwa km ilizotembea mercedes kufika milioni km , ni adimu sana , lakini kwa scania ni just normal

Huko Denmark kuna mtu amepata 4.1milion km katika scania 142 yake bila kufanya overhaul , unazungumzia miaka 30 ya service life bila kufua engine!

Mkuu kwa Tanzania ulitaka kujua uimara wa gari, Kuna njia moja tu ya songea , gari ikiweza kutoka na tan30 Kule kuja njombe basi hiyo ni imara, kwa bahati mbaya kwa miaka kadhaa niliyokaa Kule sijawahi kushuhudia benz ikikaa miaka miwili bila kusumbua kwa njia hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
To be specific nikikuta R420 na Actross of the same specifications, Actross is way to go.


Sent using Jamii Forums mobile app

Hukatazwwi kununua Daimler mkuu, Cocacola,ananunua actros, Breweries ananunua actros, Signon anatumia actros, Prime fuel anatumia actross na axor , Bhanji juzi tu ameleta all new acrtoss tena zile zenye mirror cam, Bakheressa anatumia acrtoss pia, the list goes on and on.

Katika hiyo list niliyokutajia nadhan utagundua hakuna mwenye pesa ya mawazo, na hapo ndipo maskini anaenda kuchagua scania

,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwenye haya maswala unachezaga kama Mess na Ronaldo combined ,

hivi mkuu tofaut kati ya Actross na Axor ni nini..macho yangu yanaonaga kama same same

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umenifurahisha sana inaonekana Mswedish sikwambii kitu ila kuna IVECO straris ili ni prove wrong sana kipindi fulani Mwanza.

Okay unazungumziaje 124 R series 420 maana hapa malalamiko hayaishi tena bahati mbaya zaidi wataalamu wa anga za tehama na electronic kizaazaa. Au ndo twende tu SUB SCNA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki ndicho hata Mimi nilikimaanisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
- scania ni ya kimaskini sababu tu spea zake used zimesheheni kila kona. Spea feki pia ni nyingi hivyo kuifanya bei iwe chini.. benz spea nyingi ni genuine hivyo ni very expensive! Usisahau scania hata uokote spea jalalani ukafunga itapiga kazi


-zipo benz nyingi tu zimefikisha kilomita milioni same as hizo scania. Just imagine mp1&mp2 zilizokuja zikiwa mtu wa around 600k kilometres sasa hivi zitakuwa na km ngapi?

-huko songea zipo benz nyingi sana za TransAfrica zinabeba makaa kwenda Rwanda sijui huwa huzioni au ndio unazi na scania


-ngoja nisirefushe mjadala ila ukweli utabaki kwamba ukifanya comparison kwa models tofauti tofauti lazima utakuta kuna model za benz ni best na zipo za scania pia ni best

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…