princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,687
- 19,357
intrusted..you may continue
nilidhani umeshusha nondo kumbe unauliza... okay fine let's get in..
baada ya kujidhatiti nakujiona wamekuwa nguli Japan iliamua kujitoma kwenye vita ya pili ya dunia mwaka 1945.
wakati ujerumani na italy ikitaabika ktk kuendeleza vita hiyo kutokana na kipigo cha british nawashirika wake.
japan aliamua kuzisaidia ujerumani na italy,kitendo hicho cha japan kuendeleza vita hiyo kilisababisha nguli U.S.A kuibukia vita hivyo nakuanza kumuonya japan,lkn hata hivyo japan hakusikia!,ndipo U.S.A alipoomba upande wa wabritish nawashirika wake ambao walikuwa wakihemea ulimi nje kutokana na vita hiyo kutokana na kuchoshwa kiuchumi,kimiundombinu na kijeshi.. U.S.A akiwa mshirika wa wabritish mnamo Agosti 6 1945,mji wa Hiroshima ulitikiswa kwa bomu lakinyukilia lililoangushwa na ndege aina ya B-29,ambapo watu takribani 80,000 waliuwawa kutokana na mlipuko tu hapo bado majeruhi na waliokufa kwa mionzi!.
mbali na hivyo
Baadhi ya maelezo nmeyasoma kwa wikipedia....

sawa MkuuJifunze kuuliza.
barabara mkuuMbali na hivyo japan bado aliendelea kuwashwawashwa! nakutuma majeshi yake mbele kuendeleza WW2!.
U.S.A nayo haikuchoka,bado ilitaka kuionyesha dunia kuwa amejidhatiti vilivyo ktk anga za mapigano!.
siku tatu mbele yani tarehe 9 agosti 1945 mji wa nagasaki tena uliangamizwa kwa bomu lakinyukilia lililodondoshwa na Bomber B-29,Ambapo takribani watu 40000 walipoteza maisha..
kiujumla inakadiliwa kuwa takribani watu 129000 walipoteza maisha kutokana na mabomu hayo,hivyo kufuatia kipigo hicho cha mbwa mwitu,japan ili sarenda nakurudisha wanajeshi nyumbani kulikokuwa na kilio cha kusaga mapengo!!.
kwanini hiroshima na nagasaki..?
hii ndio ilikuwa miji iliyokuwa na uzalishaji na miundombinu kadhawakadha,hivyo watesi wao walionelea ni vyema kuwaharibia miji hiyo ili kukosa nguvu yakiuchumi hivyo wasingeweza kuendelea na vita hiyo.
Lengo kuu ilikuwa ni kustopisha WW2.
madhara yaliyoletwa na mabomu hayo ni pamoja na..
vifo,kuharibiwa kwa miundombinu mbali na hayo najua unashauku ya kujua zile radiation... naja.
ndio maana nimeanzisha mada mkuuEndelea Mtaalam,
Nami eti nilisikia kuwa Bomu hilo liligeuza sehemu ya aridhi, udongo ukaenda chini miamba ikaja juu (upside down)
Hata mie kanikumbusha mbali,kuna mchangiaji hapo kaelezea kuhusu mkopo wa silaha.umenikumbusha pindi la history. . .nakumbuka sababu mojawapo ya mmarekani kumpiga mjapani kipigo cha kihistoria ni: wakati huo U.S.A alikua amempani japan kinyama sababu JAPAN alikua yuko vizuri kwenye mauzo ya bidhaa zake kutokana na ubora wa bidhaa hizo ambapo U.S.A aliyumba sana kwenye mauzo yake ya bidhaa duniani na hata nchini kwake mpaka ikafika mahali akakataza bidhaa za japan zisiingie tena U.S.A.kwaio kwenye vita ya pili ya dunia U.S.A akapata nafasi yakumshambulia mjapani (mpinzani wake mkubwa sokoni)
kwahiyo kuchange huko ,ni kama kupotea hewani tu[emoji20] daah ilikua hatari sana.Walimu said" waliokuwa karibu na mlipuko waliundergo sublimation process nadhani, changing from solid to gas state without passing thru the liquid state na hata jivu halikubaki, then wajirani kiasi wali change into plastic material, (@all ni kifo) na wengine kuungua, Wa mbali sana walipata radiation effects, kuzaa watoto walemavu, eg hana mkono, au deformed babies, kidole kutokea kichwani, etc