Salaam
➡ Hati miliki ni nini?
Ni document ya kisheria inayoonyesha mmiliki wa kipande cha ardhi. Ikionyesha ramani ya upimaji ya eneo husika, ukubwa wa eneo, na ramani za upimaji za majirani.
➡ Hati miliki inapatikana vipi?
Hati miliki inapatikana baada ya eneo husika kuandaliwa ramani ya mipango miji na atimaye kuweza kupimwa na kuandaliwa ramani ya upimaji, Baada ya hapo unaweza kumilikishwa eneo lako kwa kupewa hati miliki.
➡ Hati miliki unaipata toka kwa nani?
Hati miliki ya viwanja au maeneo mengine ambayo yapo ndani ya mji uwa zinatolewa na wizara ya ardhi kwa kupitia halmashaur/manispaa husika. Baada ya eneo lako kufanyiwa upimaji na mpima ardhi (Land Surveyor)
➡ Kuna umuhimu wowote wa kuwa na hati miliki?
Umuhimu upo tena mkubwa sana ukiwa na hati miliki inakuzuia kupunguza migogoro kwa kuwa utakua mmiliki kisheria, unaipandisha thamani ardhi, pia unaweza tumia kama dhamana kwenye taasisi za kifedha kwa kuchukulia mkopo.
➡ Je kuna tatzo lolote usipokua na hati miliki?
Matatzo yapo mfano uwezekano wa kubomolewa eneo lako kama hujajenga eneo husika mf (eneo la hifadhi ya barabara, reli n.k, wazi, makaburi n.k), uwezekano wa kuzurumiwa ardhi yako kwa kuwa humiliki kisheria, kiwanja kuwa na thamani ndogo (kushindwa kuchukulia mikopo na kulipwa fidia ndogo endapo serikal itahitaji eneo lako)
********* *PIMA ARDHI YAKO UWEZE KUPATA HATI MILIKI SASA**********

Hati miliki ni nini?