Fahamu kuhusu hati ya kubadili jina (deed poll)

Dignah

Member
Joined
Jan 26, 2022
Posts
70
Reaction score
96
FAHAMU KUHUSU HATI YA KUBADILI JINA (DEED POLL)

0747131430

HASA KWA VIJANA WENZANGU MLIOOMBA KAZI SERIKALI. KABLA YA INTERVIEW SHUGHULIKIA MAJINA YAKO YAWE SAWA. WENGI WANAKATALIWA KUFANYA INTERVIEW.

HATI YA KUBADILI JINA (DEED POLL)
Hii hutumika kama mtu anataka kubadili jina kabisa. Mfano kama umeitwa kwenye INTERVIEW na majina yako ya NIDA na vyeti vya Taaluma hayaendani kabisa na unataka utambulike kwa jina la NiDA.

KIAPO CHA KUTHIBITISHA JINA/SAHIHI.
Hiki ni kiapo kinachotumiwa na mtu mwenye jina au sahihi zaidi ya moja na na vyote vinamtambulisha yeye. Mara nyingi hutumika kwenye INTERVIEW kama una majina yako ya NIDA ni matatu lakini ya Shule ni Mawili au kuna ufupisho.

SHUGHULIKIA MAJINA YAKO YAWE SAWA NA TAARIFA ZAKO NYINGINE.
 
Attachments

  • 32EBC3FF-9EFD-4196-BED4-6449CFE32F2D.jpeg
    32EBC3FF-9EFD-4196-BED4-6449CFE32F2D.jpeg
    483.2 KB · Views: 50
Asante kwa maelezo mafupi,hiyo deed poll inapatika wapi?
Hatua zipi za kufuata?
 
FAHAMU KUHUSU HATI YA KUBADILI JINA (DEED POLL)

0747131430

HASA KWA VIJANA WENZANGU MLIOOMBA KAZI SERIKALI. KABLA YA INTERVIEW SHUGHULIKIA MAJINA YAKO YAWE SAWA. WENGI WANAKATALIWA KUFANYA INTERVIEW.

HATI YA KUBADILI JINA (DEED POLL)
Hii hutumika kama mtu anataka kubadili jina kabisa. Mfano kama umeitwa kwenye INTERVIEW na majina yako ya NIDA na vyeti vya Taaluma hayaendani kabisa na unataka utambulike kwa jina la NiDA.

KIAPO CHA KUTHIBITISHA JINA/SAHIHI.
Hiki ni kiapo kinachotumiwa na mtu mwenye jina au sahihi zaidi ya moja na na vyote vinamtambulisha yeye. Mara nyingi hutumika kwenye INTERVIEW kama una majina yako ya NIDA ni matatu lakini ya Shule ni Mawili au kuna ufupisho.

SHUGHULIKIA MAJINA YAKO YAWE SAWA NA TAARIFA ZAKO NYINGINE.
Naomba kujuzwa kwa hatua nilio fika paka sahvi nishatoka mahakamani kupata deed poll sasa wameniambia niende ardhi je apo ardhi nimeenda waka fanya process zao zile nikalipia kiasi cha 31000 kwa control number sasa je na week sasa sijapata uthibitisho wao je inaweza kuchukua mda gani baada ya kulipia naombeni muongozo wenu wakuu
 
Samahani Ilichukua muda Gani kua processed maana hata Mimi zimepita siku 17 Bado.
 
Back
Top Bottom