moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,948
Hii ni moja kati ya changamoto kubwa ilioko kwa wanandoa walio wengi,tena inapotokea kwenye familia kuna kasoro hii moja kwa moja mwanaume ndio anaonekana anae vunja ndo,lakini pia kwa mwanaume ina muharibu sana kisaikolojia kwasababu hajui chanzo hasa nini ni na pengine amekwisha tumia dawa na mizizi yote lakini bado tatizo liko pale pale.
Iko hivi ukiona mwili wako kama mwanaume katika eneo hili la nguvu za kiume na sababu huzielewi unajikuta tu una huu udhaifu kama
1.kutoa mbegu kwa haraka sana na kupoteza hamu ya tendo la ndoa kabisa(kuwai kufika kileleni)
2.Uume kushindwa kusimika au kusimika dhaifu
3.Kutoa mbegu kabla hata ya tendo.
Hii ni maana yake ule ubora wa mwanaume unapotea nasi tu kupotea lakini pia heshima ya mwanaume inaondoka na kibaya zaidi mke anaweza kudhani labda unamahusiano mengine nje ya ndoa au tofauti na yeye,sasa wengi wameonekana kulipuuzia hili labda kwa sababu halina maumivu kimwili kwani walio wengi matatizo ya kiafya kwao ni kuwa na maumivu mwilini sasa ukiona wewe ni mwanaume wa namna hii basi kama ni gari huwasha taa nuekundu kwaajili ya tahadhari
Viko visababishi vya matatizo haya ya nguvu za kiume kama,kujichua kwa muda mrefu kwa vijana,lakini pia maradhi kama kisukari,pressure pamoja na madonda ya tumbo.Lakini inawezekana kabisa hivi vyote tajwa hapo juu wewe huna lakini ile heshima ya mwanaume inazidi kushuka hii inamaana kwamba SUMU pamoja na upungufu wa lishe sahihi kwa mwili wako ndio maana hali hiyo hakuna ambacho hutokea kwa afya yako kama changamoto isiwe na sababu shida ni kwamba watu wengi afya huichukulia juu juu na kutokutilia maanani.
Tena hakuna watu hujiona kuwa wana afya kumbe ndio wako na hatari nyingi sana kiafya kama watu wenye UZITO MKUBWA pamoja VITAMBI hapa si wake wala mwanaume na hawa wote wamekua wakiona maisha ndivyo yalivyo bila kujua athari iliopo mbele yao.