Mi nafundisha ndani ya wiki unajua kidhungu chote mpaka cha mke wa Obama.
Kipaumbele ni wasichana tu.. Kwanini uhamgaike kuelewa Isidingo? Suruhisho limekuja Dada, nikikufundisha mimi hata ukiunguza mboga utakuwa umeunguza kiuhalali maana unaelewa mwanzo mwisho hadi CNN