Fahamu Juu Msafara (Motorcade) ya Marais mbalimbali

Fahamu Juu Msafara (Motorcade) ya Marais mbalimbali

Uzi mzuri uje utupe Na habari za maisha ya raisi ndani ya ikulu, kuna mtu anatupiga fix kuwa raisi anapo lala askari wakati wa kubadili shift hupima mapigo ya Na kunot kakabithi lindo salama raisi alikuwa akipumua fresh, pia mkewe ana pangiwa muda wa kustarehe Na raisi hatakiwi kumchosha maana hawalali chumba kimoja. Pia idadi ya watoto Na ndugu anao paswa kuishi nao ikulu nk
kuna ndugu yangu mmoja alikua mmoja wa walinzi wa kikwete,sasa mtoto wake ndo akawa anatuhadithia Maisha ya pale ikulu..kwa kifupi baadhi ya walinzi hasa wale ambao wako ktk inner cycle ya ulinzi wa raisi wanaishi ikulu,maisha ya mule ikulu ni kama ka mtaa flani hivi,raisi ndie hua kama balozi wa hako kamtaa kao..but familia ya rais ikiwa ikulu wanaishi maisha normal tu,wanatembeleana na majirani zao na pia wanajumuika kwenye shughuli za kijamii.kwa leo ngoja niishie hapa mkuu
 
ila kibongo bongo bado sana maana hata watu ambao hatujui maswala ya usalama unaweza jua rais yupo kwenye gari gani!
 
kuna ndugu yangu mmoja alikua mmoja wa walinzi wa kikwete,sasa mtoto wake ndo akawa anatuhadithia Maisha ya pale ikulu..kwa kifupi baadhi ya walinzi hasa wale ambao wako ktk inner cycle ya ulinzi wa raisi wanaishi ikulu,maisha ya mule ikulu ni kama ka mtaa flani hivi,raisi ndie hua kama balozi wa hako kamtaa kao..but familia ya rais ikiwa ikulu wanaishi maisha normal tu,wanatembeleana na majirani zao na pia wanajumuika kwenye shughuli za kijamii.kwa leo ngoja niishie hapa mkuu[/QUOTE
Isee imetulia sana ungeza kdg kwa mambo ambayo hutokiuka taratibu
 
Back
Top Bottom