Fahamu jinsi ya kutengeneza chakula chako cha kuku ili kupata faida


Habari ya asubuhi ndugu kwa mawasiliano zaidi unaweza kutoa elimu kwa anaehitaji?
 
@OS Cordis,

Au ni ugeni wa kutumia JF, au kutoelewa inanijibu sitoweza kuunganishwa ww ndio umeweka zuio. Mashikholhomaghenhi Mamma.
 
Mahindi= 40 kg
Dagaa = 12 kg
Maharage ya soya = 14 kg
Chokaa = 4 kg
Mkuu hii ina tofauti gani na kununua chakula dukani kilichotengenezwa tayari
nimejaribu kujumulisha naona kama bei zinafanana na pia muda wa kununua na kuandaasi ni ghali zaidi?
 
Kutokana na gharama ya soya wengi hutumia mashudu kwa kuwa hayana kazi nyingine
 
Mkuu Dr. Of Veterinary Kuna mahali nlipita nikakuta wanachimba udongo Wana uchanganya na pumba kwa chakula Cha kuku je hiyo waiongeleaje Mkuu
 
Tafuteni Azola.... Mtapenda.
Makuku yatanenepa, yatashusha mayai hadi udate....
Then zingatieni kuwapatia NEOCHICK.
 
Swali. Hivi mtu ukiacha kuweka Dagaa ukaweka Uduvi ni sawa?au Ukaweka Chokaa badala ya Mifupa ni sawa? Na ayo mahindi niyale yaliyo vunjwa vunjwa au mazima?.zaidi ya yote tunasema Asante mtaalam kwa Elimu hii nzuri Mungu akubari.

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Naomba mawasiliano yako mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…