Kiukweli, hakuna mgogoro wala makundi ndani ya CHADEMA. Ila kinachoendelea ndani ya Chadema ni kile ninachokiita 'NANI ZAIDI' kuelekea uchaguzi ndani ya Chama. Huu mkakati, 'nani zaidi' unampa nafasi mwana Chadema kuweza kutambua nani anafaa katika ngazi fulani.