Joseph lebai JF-Expert Member Joined Jul 19, 2017 Posts 8,447 Reaction score 8,722 Mar 26, 2021 #41 Kitendo cha kupumua akili inafanya kazi . Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
K Kisai JF-Expert Member Joined Apr 6, 2018 Posts 29,126 Reaction score 29,347 Mar 26, 2021 #42 Ben Zen Tarot said: Post number 14 nimejibu swali lako Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Swali langu hujajibu, sababu unazua maswali mengi kuonyesha udhaifu wa jibu lako. Naanzia hapa,unaelewa nini juu ya kauli hii "Kila nafsi itaonja umauti? "
Ben Zen Tarot said: Post number 14 nimejibu swali lako Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Swali langu hujajibu, sababu unazua maswali mengi kuonyesha udhaifu wa jibu lako. Naanzia hapa,unaelewa nini juu ya kauli hii "Kila nafsi itaonja umauti? "
K Kisai JF-Expert Member Joined Apr 6, 2018 Posts 29,126 Reaction score 29,347 Mar 26, 2021 #43 Victor Mlaki said: Kwenye Chanzo cha vyanzo.... Click to expand... Hujaelewa swali, sababu nikikuuliza hicho chanzo ni kipi ?
Victor Mlaki said: Kwenye Chanzo cha vyanzo.... Click to expand... Hujaelewa swali, sababu nikikuuliza hicho chanzo ni kipi ?
Victor Mlaki JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 5,504 Reaction score 6,236 Mar 26, 2021 #44 Jurjani said: Hujaelewa swali, sababu nikikuuliza hicho chanzo ni kipi ? Click to expand... Mimi naona hujaelewa jibu. Nitaandaa uzi maalumu wa hili ili angalau nipunguze maswali yako.
Jurjani said: Hujaelewa swali, sababu nikikuuliza hicho chanzo ni kipi ? Click to expand... Mimi naona hujaelewa jibu. Nitaandaa uzi maalumu wa hili ili angalau nipunguze maswali yako.