Fahamu haya kuhusu kifo

Hahaha sawa mkuu ko ww utaishi miaka 1000 baada ya kudanja, si ufe tu uachane na tabu za maisha ukawe roho uwe unakula mwanga na Giza, afu usisahau kula tunda kimasihara uko ndo kwenyewe msalimie jiwe.
 
Kufa ni kitendo cha mwili wa nyama kushindwa kuungana na mwili wa nyama
(i)Mkuu mwili na roho vinaunganaje? .
(ii) Kufa ni kitendo au hali?


Ili mwili wa nyama ushindwe kuungana na mwili wa kiroho lazima kuwe na hitilafi mbili.

Mwili uwe haupati hewa au damu iishe hewa utumika kutengeneza mfumo wa umeme kifuani ambapo mfumo huo utumika kusukuma moyo na moyo kuzungusha damu(source?). Hivyo hewa isipofika maanake mfumo wa umeme hautotenda na Kama hautotenda maanake moyo utashindwa kusukuma damu na mwili utashindwa kutenda.

Hivyo roho itashindwa kuishi umo maana roho uunganushwa na nguvu ya damu. Hivyo roho automatic tu itatoka na kukaa pembeni kwa masaa 24 ikipita hapo iyo roho HaitowezA kurudi tena.

Pia mwili ukiisha damu roho haitoweza kurudi tena.

Pia kwenye mfumo wa ubongo ukiharibika.

Kitu ambacho kipo kisayansi ni kwamba mwili unapopoteza vigezo vya kumiliki roho ndo binadamu anakufa na si kwamba kunamalaika anaetoa roho." hii hoja inahitaji ushahidi kuntu Mkuu......mmmmh mwili unamiliki roho kivipi? na katika mazingira yapo?

Pili mtu mwenye kuongozwa na nafsi ndiyo anakufa Ila mwenye kuongozwa na roho hafi Ila ataishi miaka elf moja na kunyakuliwa." source???"...miaka 1000?..

Nafsi ikitoka uenda kuishi sehemu ambapo unaagano napo mpaka siku ya mwisho." wapi kwenye agano? na agano hilo ni nini?"
 
Nipo hapa unasemaje?
 
Napenda vitu vinavyo prove kama hivi sio oh malaika mtoa roho,mara oh sijui israil,hapa lazima kila kifo kuwe na uthibitisho
 
Kuna mtu roho yake ilitoka mwilini tena kwa spidi ya ajabu ikawa inakimbilia kusikojulikana jamaa ikabidi akodi bodaboda aifukuzie,aliifukuzia mpaka akaikamata akairudisha mwilini na akaionya iache kutokatoka tena bila ruhusa
😂 😂 😂
 
Mleta mada umewahi kufa??
Kama hujawahi kufa peleka huko matangopori yako bwana.
Mtu pekee anayekijua kifo ni aliyewahi kufa tu, ninyi mlio hai mtadanganyana sana lakini hamtolipata jibu kamwe mpaka mkufe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa umechanganya mambo.
 
Post number 14 nimejibu swali lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…