Fahamu Hatari za kutumia sukari

Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,597
1,072
Madaktari wanaonya kuwa utumiaji wa sukari una madhara katika afya yako, Mfano afya ya kinywa, kuozesha meno, uharibifu wa ngozi, kuharibu kinga ya mwili, cancer, mogonjwa ya moyo, kuharibu damu na mifupa. Sukari ya viwandani pia husababisha kisukari na athma. Ni vigumu kuwakuta wazungu mfano Norway na Marekani wakitumia sukari ya mezani. Kuachama mdomo kwa Dr wa meno hugharimu sh milioni hivi. Magonjwa mengine ni kama ifutayvyo'

Here some of the dangers of consuming sugar:

  1. Feeds candida
  2. Promotes wrinkling and aging skin2
  3. Makes your blood acidic3
  4. Can lead to osteoporosis.4
  5. Rots your teeth5
  6. Raises your blood sugar level6
  7. Contributes to obesity7
  8. Is addictive (almost as much as drugs) 8
  9. Can create the urge to binge9
  10. Provides 'empty calories' with no nutritional value10
  11. Contributes to diabetes11
  12. Robs your body of minerals.12
  13. Robs you of energy13
  14. Contributes to heart problems14
  15. Can cause cancer15
  16. Contributes to ulcers16
  17. Can cause gallstones17
  18. Contributes to adrenal fatigue
  19. Can suppress your immune system18
  20. Raises the level of neurotransmitters called serotonin19
  21. Weakens eyesight
  22. Sugar can cause hypoglycemia (low blood sugar levels).
  23. Can cause aging20
  24. Can contribute to eczema21
  25. Can cause arthritis22
To learn more about the dangers of sugar and find out if you're a 'sugarholic', read Lick The Sugar Habit, by Nancy Appelton, PhD.

ir
 
Madaktari wanaonya kuwautumiaki wa sukari una madhara katika afya yako Mfano afya ya kinywa, kuzesha meno, uharibifu wa ngozi , kuharibu damu na mifupa. Nyingine ni kama ifutayvyo'

Here some of the dangers of consuming sugar:

  1. Feeds candida
  2. Promotes wrinkling and aging skin2
  3. Makes your blood acidic3
  4. Can lead to osteoporosis.4
  5. Rots your teeth5
  6. Raises your blood sugar level6
  7. Contributes to obesity7
  8. Is addictive (almost as much as drugs) 8
  9. Can create the urge to binge9
  10. Provides 'empty calories' with no nutritional value10
  11. Contributes to diabetes11
  12. Robs your body of minerals.12
  13. Robs you of energy13
  14. Contributes to heart problems14
  15. Can cause cancer15
  16. Contributes to ulcers16
  17. Can cause gallstones17
  18. Contributes to adrenal fatigue
  19. Can suppress your immune system18
  20. Raises the level of neurotransmitters called serotonin19
  21. Weakens eyesight
  22. Sugar can cause hypoglycemia (low blood sugar levels).
  23. Can cause aging20
  24. Can contribute to eczema21
  25. Can cause arthritis22
To learn more about the dangers of sugar and find out if you're a 'sugarholic', read Lick The Sugar Habit, by Nancy Appelton, PhD.

ir

Wanasema pia our daily carbohydrates intake is enough for our needs. Hatuhitaji sukari zaidi ya ugali na wali tunaokula.
 
Basi kama ndio hivyo ziwekwe alama za onyo kama sigara.
Kwamba utumiaji wa sukari ni hatari kwa afya yako.
 
Dunia ya leo inabidi tuanze kula organically. Everything you take should be calculated.
 
basi magufuli aache kupambana na hao wanaodaiwa kuficha..wataila wenyewe
 
Kesho tuletee faida ya kutumia sukari za viwanda vya ndani ya nchi ki Afya!
 
acheni upuuzi sukari haipo sokoni fanyeni mpango wa kuagiza sukari nje ya nchi siyo kuleta ngonjera za kijinga. mbona kama ina madhara serikali imeruhusu viwanda vya sukari ? mbona serikali inatumia hadi mabavu kuhakikisha sukari inapatikana sokoni ikiwezekana kuigawa bure kwa wananchi?
tuwe serious kwenye mambo ya msingi.
 
Back
Top Bottom