Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,742
- 32,352
Nakubaliana na wewe mkuu! Tena angekuwa yupo Yanga, angeshafurushwa siku nyingi sana!Nadhani amekimbia changamoto za ligi Fadlu. Ila alikoenda amechemka angeenda team ndogo siyo kubwa.
Bado uwezo wake si mkubwa kiasi hicho namwonea huruma atafukuzwa huko Raja.
Hajafukuzwa Simba, ila yeye ndiye kaamua kuachana na Simba kwavile kapata timu nyingine huko MoroccoKwani ameshafukuzwa simba?
Ugari❌Yaliyopita si ndwele tugange yajayo, muache aendelee kuusaka ugari wake...
Amekimbia au amepata dili zuri zaidi? Mchezaji au kocha si mwanachama wa Club kwamba avumilie changamoto.Nadhani amekimbia changamoto za ligi Fadlu. Ila alikoenda amechemka angeenda team ndogo siyo kubwa.
Yote sawa tu. Hilo si jambo geni lipo uchi kabisa.Amekimbia au amepata dili zuri zaidi? Mchezaji au kocha si mwanachama wa Club kwamba avumilie changamoto.
Ufahamu wako ulipo ishia ndo hapo, usinichoshe ubongo hapa...Ugari❌
Ugali✅
Ni mpaka sasa uwe nao ubongo. Sema nisikuchoshe Masaburi.Ufahamu wako ulipo ishia ndo hapo, usinichoshe ubongo hapa...
Ni baada ya mechi ya ngao ya jamii?Hajafukuzwa Simba, ila yeye ndiye kaamua kuachana na Simba kwavile kapata timu nyingine huko Morocco
Fitna za Simba na Kitanzania zimemkimbiza.Huko anaweza kikaa hadi atakapoamua mwenyewe kuondoka.Nadhani amekimbia changamoto za ligi Fadlu. Ila alikoenda amechemka angeenda team ndogo siyo kubwa.
Bado uwezo wake si mkubwa kiasi hicho namwonea huruma atafukuzwa huko Raja.
Huyu kocha wa yangaFadlu huyu kocha wa Simba au?
Ahaa, nilifikiri wa Singida United aiseeHuyu kocha wa yanga