Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,748
- 50,169
Kwani simba imepoteza?Mkuu naheshimu mawazo yako, lakini umeshindwa kutambua kama kikosi kimechoka sasa hivi kutokana na kucheza mechi ngumu mfululizo... Timu inakata pumzi kwa sababu ambazo zinaeleweka.
Hivi kwa nini Valentino mashaka kila mechi anakaa benchi Lakini hachezi? Hofu ya kufungwa inamfanya Fadlu kutokuwatumia wachezaji wengine ambao anao na wangempa matokeo chanya.Mkuu naheshimu mawazo yako, lakini umeshindwa kutambua kama kikosi kimechoka sasa hivi kutokana na kucheza mechi ngumu mfululizo... Timu inakata pumzi kwa sababu ambazo zinaeleweka.
Tofauti yenu kwenye mechi ya leo na wale Waarabu waliocheza na Yanga Kwa Mkapa, ilikuwa ni rangi tu! Yaani hata sijaamini kama timu kama simba inaweza kukalinda kagoli kamoja dhidi ya timu kama Singida Black Stars!Umejawa hofu ya kufungwa kiasi ni kama unazuia wachezaji kuchakarika.
Imani yako kwa Mohamed Hussein, Fabrice Ngoma inaigharimu Timu.
Kibu D ana maguvu Lakini achezi kitimu. Umeshindwa kumuelekeza kuwa akicheza kitimu Simba itafaidika zaidi?
Ahoua anajua kucheza mpira Lakini hachezi kimpira. Afunzwe kuwa kipaji chake kinatakiwa kiinufaishe Timu . Asicheze kama yupo mazoezi.
Kupoteza muda ni sehemu ya mbinu mojawapo ya kimpira. Lakini sasa kipa Moussa Camara unaitumia vibaya hadi anaua morali ya uchezaji kwa wenzake.
Timu haina Kasi inayotakiwa na ikifunga bao moja tu ndiyo uzingativu hupotea. Yaani Simba ikishinda bao Moja inaanza kujilinda badala ya kutafuta bao jingine.
Kapombe na Mohamed Hussein wafundishwe kurusha mipira Kwa wakati. Mpira ukitoka wao huchukua mpaka sekunde 45 kuurusha, matokeo yake wapinzani hupata muda wa kujipanga!
Ungemalizia kwa kuandika "tawi la Yanga" 😆😃😅Tofauti yenu kwenye mechi ya leo na wale Waarabu waliocheza na Yanga Kwa Mkapa, ilikuwa ni rangi tu! Yaani hata sijaamini kama timu kama simba inaweza kukalinda kagoli kamoja dhidi ya timu kama Singida Black Stars!
Kama haujui mpango kazi wa Fadlu ni kuwa akijua anacheza na wewe mechi mbili zinazofuatana, anatumia mechi ya kwanza kukuacha ucheze ili akusome ubora wako ulipo na hilo lilikuwa moja ya malengo yake ya leo.Tofauti yenu kwenye mechi ya leo na wale Waarabu waliocheza na Yanga Kwa Mkapa, ilikuwa ni rangi tu! Yaani hata sijaamini kama timu kama simba inaweza kukalinda kagoli kamoja dhidi ya timu kama Singida Black Stars!
Si ndiyo achezeshe wengine... Mbona hata majumbani mwetu michepuko hutumiwa kuwapumzisheni nyie wenye uchovu..Hivi nyie wanaume hamuwaonei huruma wanaume wenzenu?? Yani kwa mtiti mtiti waliopitia bado mnawalaumu?? Kwani wenyewe sio binadamu....wanatumia maji?
Nyie wenyewe majumbani kwenu kimoja chalii...
Buahahahhaaha.... 😆 😆 😆Si ndiyo achezeshe wengine... Mbona hata majumbani mwetu michepuko hutumiwa kuwapumzisheni nyie wenye uchovu..
Tunamuacha apange timu ila na sisi atuache tukosoe upangaji wake wa Timu.Aisee muacheni kocha afanye anayoyaona yanafaa kwa kipindi husika
Mechi ya Leo kiasi fulani tumebebwa! Imechezeshwa hovyo sana!Halafu huyo Nashon aliwekwa aje awafanyie rafu wachezaji na hajapewa kadi hata moja
Hii nayo ni Direct Red cardSi ndiyo achezeshe wengine... Mbona hata majumbani mwetu michepuko hutumiwa kuwapumzisheni nyie wenye uchovu..