Faculty za vyuo vikuu

Kw

Kwa kiswahili si ndio kozi
Kozi ni Degree Program (Bachelor) ila faculty inajumuisha kozi zote zenye maudhui yanayofanana...mfano:kuna Faculty of Science, Humanities, Busness, Faculty of Education n.k
 
Aaanh asante kwa kunielewesha
Kozi ni Degree Program (Bachelor) ila faculty inajumuisha kozi zote zenye maudhui yanayofanana...mfano:kuna Faculty of Science, Humanities, Busness, Faculty of Education n.k
 
Asante kaka je Bugando ? kwahyo niombe nursing niache medical laboratory?
jaribu na bugando nursing sio MD anza nursing medical lab ni competition ila nursing nadhani hata ajira ni poa na iterms of salary pia (nahisi) ila jaribu na program nyingine ukiachana na za afya maana akili za wanafunzi wa PCB wao ni MEDICINE muhas au pharmacy na kama PCM anawaza engenering UDSM na unakuta hana point na yeye anaelewa ila anakaza mshipa wa ubongo kwa hiyo nikutakie application njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…