Faculty za vyuo vikuu

kid key

Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
28
Reaction score
10
Nimepata 3 ya 14 mchepuko wa PCB, naomba ushauri kuhusu faculty gani ya chuo na ni chuo gani kitanifaa?
 
Nenda kwanza jkt kajifunze kujitegemea.
 
Nimepata 3 ya 14 mchepuko wa PCBPCB, naomba ushauri kuhusu faculty gani ya chuo na ni chuo gani kitanifaa?
Kasome foundation Open Universty ili uqualify kuendelea na dgree mwakani
Nin cha kusomea dgree utajua huko.
 
Nimepata 3 ya 14 mchepuko wa PCBPCB, naomba ushauri kuhusu faculty gani ya chuo na ni chuo gani kitanifaa?
Andika ufaulu wako wa kila somo ili washauri waone kama umefikia point 4 kwa masomo mawili. Utapata ushauri mzuri tu.
 
Nimepata 3 ya 14 mchepuko wa PCBPCB, naomba ushauri kuhusu faculty gani ya chuo na ni chuo gani kitanifaa?
Kama una DDF apoo unaweza kwenda vinginevyo jiandae kuhastle kama n mtoto wa mkulima,,,,
 
Hivi mwenye two ya 12 biology C physics E na chem D anaweza soma medical laboratory
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…