Iwapo tungekuwa tunalipia kila thread ambayo mtu anaanzisha, JF ingekuwa safi sana. Nway... kwenye msafara wa mamba huwezi kuzuia kenge...
Kweli mkuuIli kuepukana na thread nyingi za kipuuzi naona mods wangefanya mchakato wa kulipia thread inayoanzishwa.huenda hili likaleta heshima mzito kabwela...maana imekuwa too much sasa
Slaa anajua akimgusa huyo anachezea makonde.Yeye ana dili na samaki wachanga(madiwani)
Pumbaaf!
Tunasema Tanesco wamesema hawawezi kujiendesha huko, option waliyobaki nayo ni kupandisha bei ya umeme kwa 100%, halafu wewe unaleta habari za danguro hapa!
Akili za ccm ni kama za pit-latrine.
Seenz kabisa!
more than bread brain.Plastic Brains!
Teh teh teh teh!Slaa anajua akimgusa huyo anachezea makonde.Yeye ana dili na samaki wachanga(madiwani)
Bwana Kimbunga
Mlikuwa wapi siku zote? Yaani kuichafua CDM Jf hakuwasaidii kitu