wende JF-Expert Member Joined Sep 6, 2009 Posts 714 Reaction score 67 Jan 7, 2014 #1 Salaam wana -JF; Naomba msaada wenu wa ku-restore channels. Kwa bahati mbaya nimebonyeza "OK" kwenye factory default ktk tv na nikajikuta napoteza channels zote. Natumia receiver ya mediacom 910. Naomba kuwasilisha.
Salaam wana -JF; Naomba msaada wenu wa ku-restore channels. Kwa bahati mbaya nimebonyeza "OK" kwenye factory default ktk tv na nikajikuta napoteza channels zote. Natumia receiver ya mediacom 910. Naomba kuwasilisha.