FACT: Iran's Navy has always lost every fight it ever faced.

Iran bado hana uwezo wa kupambana na jeshi bora la Marekani linalojitosheleza kisilaha,kiteknoloji,uzoefu na mafunzo.Ukweli ni kwamba Marekani ni kama Mlima Kilimanjaro na Iran ni kichuguu.
 
Hayo yote twayajua ila Maelezo yote ya nn...?

Waambie watie mguu sio kuwa tanguliza wenzake wakina UK, nk alafu yeye kajifichia gizani.
Iran bado hana uwezo wa kupambana na jeshi bora la Marekani linalojitosheleza kisilaha,kiteknoloji,uzoefu na mafunzo.Ukweli ni kwamba Marekani ni kama Mlima Kilimanjaro na Iran ni kichuguu.
 
Unaongelea story za 1979 hadi 1980 Ambapo Iran haikua na Uwezo wa kutengeneza makombora! Kwasasa equation zimebadirika sana hasa ukiwa na uwezo wa Missiles (Makombora)......Kwann US anapiga kelele sana kwa Nchi ambazo zimepata uwezo wa kutengeneza makombora? Km Hezbollah tu waliweza haribu Warship ya Israel wakati wa vita na apo walipewa kombora na Iran 2006 vipi kwa Iran yenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…