Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,739

Hebu mchekini huyo facilitator. Mada ni ukweli kuhusu condomu. Agalia upande wa kulia utaoa picha ya uume.Alafu muagalie picha inayofuata.

Facilitator akidictate apewe nyama zaidi ya wezake. Maada mada ya codomu ilikuwa nzito, ukizigatia ilitolewa Bukoba ambako KATERERO inakuwa applied. Issue je ukivaa kodomu katerero inapigwa vizuri?
Angalizo
Mtoa mada ndiye facillitator, kwa hiyo comment zako zisimponde huyo facilitator.
