tobycow
Senior Member
- Apr 12, 2011
- 129
- 13
nimetumiwa message nzuri nyingi watoto wa kike ambao siwajui na wengine wakidai niwatumiae account namba ya benki ili wanitumie fedha,nilidhan mola kanikunia nazi ila kila mtu ananiambia niwe mwangalifu kuwa nitalizwa mimi, mtandao upi wa kijamii ndo wa ukweli na profile inakuwa salama?