Mimi niliifuta kabxaa Facebook kutokana na Bugs zao
Yaani kila Mwezi inataka UPDATE tu na Mb zake kuanzia 200 na kuendelea
Sumtime inakuwa nzito unapoi Update kiasi kwamba inakulazimisha uifanyie Update kwa kutumia WIFI [emoji1321]♂️

Naifaham mkuu na nlishawahi kuitumia tatizo haina FACILITIES
Kama Facebook yenyewe
Na ndogo saana hio FB LITE
INFACT hawa watu weshindwa kubalance,FB moja ni kubwa saana hadi kero
Ya pili ni ndogo saana
Cha msingi nikaamua kuzifuta tu[emoji1321]♂️