facebook imeniponza...

Nilipoiona hii habari na aina ya uandishi, binafsi nikaitilia mashaka na kama kawaida yangu nikalazimika kuanza kufanya UPEKENYUZI na UFUKUNYUKU ili kujiridhisha.
Mwendabure si sawa na mkaabure, nami nikabahatika kupata sehemu zifuatazo ambazo habari kama hii imetokea na ni comment ya mdau wa huko ajiitaye Cox Dawa Yao, ​ambapo bwana huyo hizi habari huziita Majanga.

Link No. 1
FB Imeniponza

Angalieni comment iliyorushwa muda huu: 2012-11-19 18:09:00 na mtu anayejiita Cox Dawa Yao

Link No. 2
FB Imeniponza
Hiyo ni link nyingine ambayo huenda mleta hii mada hapa jukwaani ameinakili kutoka huko na kuiweka hapa, na iliwekwa huko na mtu yuleyule Cox Dawa Yao.

USHAURI:
Jamani tuacheni habari za kucopy na kupaste ambazo hazina ukweli wowote zaidi ya utunzi kama ilivyo hadithi za kina Shigongo.
Mnatumalizia wino wa keyboards zetu bure kwa siye kuhangaika kutoa ushauri kumbe ni habari za vijiweni tu.

 
uchunguzi wangu binafsi unanionyesha kuwa watu kama nyie ndio hamtumiagi kabisa zana!

Uchunguzi wangu binafsi unanionyesha kuwa watu kama nyie huwa mnaitoboa condom halafu mnajipa moyo mmetumia Kinga..!
 
Mwanzoni umetiririka vzur nikawa nakuelewa na kuona ubora wa topic yko...huku mwishon umeweka bongo movie kidogo ikafanya ukali wa topic yko kudrop!....tunapenda vitu real tujifunze sio umahiri wa kukaa kitandani na kutunga story,

kweli huyu mtoa mada muongo pengine anasoma kaole! alafu mbona hata matumizi ya L & R hajui? bila shaka atakua ametoka kwenye container jipya la hiv karbun frm 4
 
Sidhani kama kuna ukweli ndani yake...anyway nisiusemée moyo
 
ni hadithi yenye mafunzo hasa kwa sisi vijana
 
3.Eti majirani wakaniambia nenda kwenye droo yake utakuta vidonge vya ARV nikaenda na kuvikuta kweli.Here there is no logic in this statement.Walijuaje vidonge vipo kwenye droo au waliZOOM.
 
Very interesting story...hongera kwa ubunifu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…