Facebook imeniliza

Through facebook niliweza kuwapata ndugu zangu wawili ambao tulikua tumepoteana kwa miaka mingi sana toka tukiwa wadogo na sasa wote ni watu wazima. Nilifurahi sana sana sitasahau. Ina uzuri wake facebook
 
Aise imetusaidia sana sie tuliopoteana kwa muda mrefu. Nalog off
 
Mi leo nimempata niliyekuwa nakae naye dawati moja tukiwa primary
 
Mambo mengine haya tabu tupu!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…