Facebook hizi .... !


Haya hongera...
 
Tatizo kubwa kamsela kanadai kurudishiwa gharana ya pesa kalizokuwa kanamtumi kama laki 5 hivi, kisa kakakataa na hataki kuondoka nako na kameng'ang'ania bengi lake.
Anakabembeleza kuwa atakarushia hela mara arudipo kajamaa kanadai atakadhurumu....

kajamaa kalitumaje pesa bila ya kuwa na uhakika kama demu hatoingia mitini?

if you must lie, be brief.. thats why adverts dont take long
 

huu ni uongo uliojaa uongo
 

kwel ma.zuzu mko wengi jamaa yaan na kero zote hizo bado ukaamua kumkopesha kweli ulijipendekeza vyakutosha..
 
Vipi mkuu, umekula na wewe mzigo? Make najua nawe 'alikuhifadhi' baada ya wewe 'kumhifadhi' kutoka kwenye dhoruba ya jamaa, hahahahaaaaaaa (just joking)!
 

ukizidi kuadithia ndo utaaribu kabisa...
 

nesi kafanye kazi yako, taaluma ya uandishi sio fani yako
 
hii ndo ile tulikuwa tunaitkia ... hadith hadithi njoo utam kolea ...hapo zaman za kale....
 
kumbe wewe ni atm inayotembea ..kastor katamu ungepunguza dau tungekuamini angalau 15%kwel ungefanya hata alikuwa akidaiwa 20000/15000/10000 alaf ukamsaidia hapo sawa/....yan hako kambilikmo kamgharamie mtu laki tano bla kumjua alafu na wewe umlipie mtu laki tatu bla sababu na huku kashakujibu shiit kwa daldala.... tafuta watoto wa nursery wadanganyee upuuz huu wakiusapot njoo hapa tutakusapot pia
 


Weka Video
 
Halafu binti huyo huyo alimtusi "amkome"....

Mtu ulikutana nae kwenye "basi"

Halafu ukakubali kutoa 330,000

Aiseeee ....

Hii hata kale ka jogoo kangu pale nyumbani hakawezi kukubali!
 
Nashindwa kuamini story yako

Umeikopi wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…