hapana Jombi, hapa hakuna utaalam wowote, lengo la kuweka link ni uone jinsi gani blogspot ilivyotengenezwa na kuwa kama facebook, hii inaweza kuwa somo kwa web designers wetu bongo kwamba panapo CSS hakuna kinachoshindikana.fuata link uone zinavyofanana.