Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,503
- 2,277
Mkuu kwa tafsiri isio rasmi tangazo lako limekataliwa sababu linauliza moja kwa moja swali kuhusu Mambo binafsi ya mtu. Wakatoa na mfano "je umepona kansa?" "Usikubali baridi ikuangushe",Habari za muda wakuu,
Nimejaribu kulipia moja ya post yangu ya kwenye page ya facebook ili iwafikie watu wengi zaidi ila inaandika [emoji116][emoji116][emoji116]....Je nifanyaje au tatizo nini nirekebishe? Nimejaribu mara kadhaa inagoma!View attachment 1182270
Mkuu kwa tafsiri isio rasmi tangazo lako limekataliwa sababu linauliza moja kwa moja swali kuhusu Mambo binafsi ya mtu. Wakatoa na mfano "je umepona kansa?" "Usikubali baridi ikuangushe",
Hivyo kifupi badilisha content ya Hilo tangazo lako.
Ikikataa inasemaje?Sawa mkuu, na kwanini nikijaribu ku-promote page napo inakataa?
Hii nimeiweka muda si mrefu, ila kuna nyingine nimeweka muda wa saa tano asbh mpka jioni bado wana review tu! Nikacancell ad, sijui unanishauri nifanyaje mkuu!Ikikataa inasemaje?
Hapo wameandika wanai review mkuu na wanasema itafanyiwa kazi ndani ya masaa 24 ama inaweza chukua muda zaidi.
Hivyo unless waikatae sidhani Kama Ni busara kui cancel.
Ninavyofahamu wanaanza kuhesabu tangazo likiwa limeanza kuonekana na sio kabla wakati wa reviewNimelipia siku 1 tu, sasa ikipitishwa na tarehe imepita niliyoweka inakuaje?
Maana tangazo ni la masaa 24
Ninavyofahamu wanaanza kuhesabu tangazo likiwa limeanza kuonekana na sio kabla wakati wa review