Wengi hawajadukuliwa. As per my observation, wanakuwa tagged.
Mtu mmoja anadukuliwa kisha account yake inashare, lakini anaposhare anatag watu zaidi, na kwa kuwa mtumiaji ameruhusu post ambazo amekuwa tagged kuonekana kwenye ukurasa wake basi inaonekana.
Nini cha kufanya?
Zuia post zote ambazo unakuwa tagged kuonekana mpaka ureview. Facebook wana hiyo option, kama utaridhia post husika kuwa displayed on your page then itaenda hewani. Kama utaona ina ualakini basi you unakataa na kujiondoa katika tag husika.
Swali ni je, wangapi wanajua hiyo settings? Asilimia kubwa ya watumiaji wa Facebook nchini Tanzania hawana uelewa kabisa na matumizi ya mtandao.