Pole sana mkuu, zidisha upendo. Jitahidi kuwasiliana nae kila muda unapokuwa mbali nae. Kama ulikuwa na mazoea ya kwenda outing peke yako au na friends zako sasa uwe unaenda na wife.
Mwambie ukweli alichokuwa anakufanyia x wako ila msifie kuwa yeye anafanya vizuri zaidi ya huyo x.
Loh jamani! Nashukuru mimi na mme wangu hatuna maex. Sisi wenyewe mwanzo mwisho.