Face to face hug VS a hug from behind


Nimeyapenda maelezo yako,big up!
 

Super...!
 


Una degree ngapi za mapenz ndugu?
 
Iwe from behind au face to face haimati!!!!! Kinachomatter nani anakuhug!!! KAMA NI ZOMBIII HATA IWE FROM THE TOP BARIDIIIIII!!!!! Ila kama ndo THE ONE hata mkono watosha KUBANA MIGUUU!!!!! Ni mtazamo tu, msijenge hoja!!!!
 
View attachment 66296

Kati ya hizo hug mbili, ipi unaikubali na kwa sababu gani?? Ipi inafaa kwa wakati gani??

Hiyo ya pili ya face 2 face, inawezwa kufanywa kwa mtu yeyote tena hata bila kujali jinsi ya unayem-hug. Ni kawaida kumkumbatia baba, mama, kaka, dada, rafiki kama hamjaonana kwa muda mrefu, ndugu yako, nk.
Lakini hiyo from behind, ni strictly kwa wapenzi. Unaweza kumkumbatia ndugu yako au dada au mzazi au rafiki wa kawaida from behind? Jibu ni hapana.

Hivyo namuunga mkono Kaunga, AshaDii, King'asti, Kongosho, BADILI TABIA na wengineo kwamba hug from behind kwa wapenzi liko more sensational & special! nyumba kubwa upo? Hoja yako kuwa inategemea pia na mazingira ya huyo mtu yuko wapi, nayo pia naiunga mkono!
 
Napenda anihug from behind, tena iwe ina ka-extra-force kidogo, kama kuniminya zaidi kidogo!
 
...Mhhhh!!!!.... Mzima wewe Kongosho!? wakubwa wanafaidi sana hahahaha lol!

Uwe na weekend njema


From behind, coz is more sensational n special![/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
lol! nilitaka kuandika Kaunga...lakini vidole vikateleza vikaandika Kongosho ukisikia kigugumizi cha vidole basi ndio hiki...hata mie natamani kweli kuwa mkubwa

kweli wakubwa wanafaidi, sijui mie nitakua lini.

Natamani kuwa mkubwa.
 
Uh me napenda frm behind af anikc kwny shngo aaawww

Napenda anihug from behind, tena iwe ina ka-extra-force kidogo, kama kuniminya zaidi kidogo!

he he he, nitakaHAGI kwa upande upande.

From behind, coz is more sensational n special!

The hug from behind is just too romantic. It melts my legs kabisaaa. Reason ni hapo shingoni hapoooo, the breathing is unbearable.

From behind...inasisimua sana ..


Mmenifundisha kitu nyie wanadamu..i hope ntadumisha ndoa yangu sasa..mie nilikuwa sijui kama wengi wenu mnapenda from behind..By the way Kongosho hiyo ya upande upande ikoje?...my pacha snowhite njoo unisaidie kuchagua the best hug!..lol!
 
Last edited by a moderator:
Mmenifundisha kitu nyie wanadamu..i hope ntadumisha ndoa yangu sasa..mie nilikuwa sijui kama wengi wenu mnapenda from behind..By the way Kongosho hiyo ya upande upande ikoje?...my pacha snowhite njoo unisaidie kuchagua the best hug!..lol!

Hata na mie nimepata kitu hapo ladies seems to like "hug from behind"
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…