Ninaanza kwa kuuliza,
Kama kuna mjuzi wa technology hii ya Python, basi naomba kujua namna ya kuhusisha django, library ya face-recognition na OpenCv library.
Nimefanya web app inayofanya hivyo lakn nimekwama kwenye eneo la kufanya recognition kutoka kwenye video, na sababu ni namna ya kuiload ile video kwenye Open CV.
video = request.FILES[‘video’]
cap = cv2.VideoCapture(video)
Napata error hapa kwenye mstari wa pili.
Kama kuna mtu ameshakutana na io kitu anisaidie.