Yani kwa wasanii tu wanaomuunga mkono jide hao waliojibainisha tu ambao ni prof J,nature, na sugu tayari Fa keshapoteza wasanii kibao bado ambao hawajajivua gamba na kuvaa gwanda wanasubiria upepo na soon upepo utakaa sawa lazima upande wa pili wakae chini, fikiria jide aanzishe ziara ya mikoani akodi uwanja mkubwa uone balaaa lake, hatariiiiiiiii, watanzania wengi sasaivi hawataki usaliti ndicho kilichomponza fa, fikiria ni nyimbo ngapi wameshirikiana na jide?