Fa Fa Fa Fa..!!!

Misukule kama nyinyi ni wa kunyang'anya uraia muende Somali, halafu muone hali ilivyo nzuri kule.
 
Washakula kuku zao na mbuzi muda.wataisoma Namba SAA ngapi.wajanja sana waganga
 
Hivi hii nchi haina waganga na wachawi?? Inamaana wao hawaisomi namba? Tunaomba mfanye makeke yenu jaman hali ni mbaya.
Wanasomaje namba kwa akili hizi,kwao biashara ni nzuri sana ukizingatia tunavyotatua kila kero zetu kupitia kwao!!!wanaomsafiria Makonda tu kwa siku ni hesabu tosha,jumlisha na wa Siang'a mambo yanakaa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…