Mtoboasiri JF-Expert Member Joined Aug 6, 2009 Posts 5,100 Reaction score 1,955 Mar 27, 2012 #1 Wajameni, Naomba msaada wenu wakuu. Kuna mtu anaweza kupendekeza software inayoweza management ya online support? Idea ni kuwa na website ambapo wateja watapewa majibu ya maswali yao online. Natanguliza shukurani zangu za dhati.
Wajameni, Naomba msaada wenu wakuu. Kuna mtu anaweza kupendekeza software inayoweza management ya online support? Idea ni kuwa na website ambapo wateja watapewa majibu ya maswali yao online. Natanguliza shukurani zangu za dhati.
Sniper JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 2,008 Reaction score 950 Mar 27, 2012 #2 UNahitaji freeware ama shareware?
Mtoboasiri JF-Expert Member Joined Aug 6, 2009 Posts 5,100 Reaction score 1,955 Mar 27, 2012 Thread starter #3 Sniper said: UNahitaji freeware ama shareware? Click to expand... Hebu nipe tofauti zake na functionality za kila moja, maana mie mtu wa application zaidi ya technical!
Sniper said: UNahitaji freeware ama shareware? Click to expand... Hebu nipe tofauti zake na functionality za kila moja, maana mie mtu wa application zaidi ya technical!