F ya B/Maths na E ya BAM

F ya B/Maths na E ya BAM

Rashidi7

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
612
Reaction score
212
Habari!
Mimi in mhitimu wa kidato cha sita 2018 na nimefanikiwa kupata 1.7
G/Studies E
BAM E
Economics D
Commerce A
Accountancy B
sasa napenda kuuliza je naweza kupata course ya Bcom in Accounting ya UDSM na BAF ya Mzumbe ikiwa O'level nilipata F ya B/Maths na Advance nimepata E ya BAM?
 
Attachments

  • Screenshot_2018-07-16-12-17-44.png
    Screenshot_2018-07-16-12-17-44.png
    71.3 KB · Views: 50
Una point zisizopungua 11.5 (hongera kwa hilo), ukija kwenye BAM una E ambayo ni subsidiary pass kwa sababu umeipatia advance huhitaji uwe na ufaulu wa math O level. Unachaguluka labda iwe issue ya competition tu but kwa 11.5 chances ni kubwa utapata. 2014/15 na 2015/16 UDSM BCom Accounting walichukua hadi 10.5 mwisho. Sina data za Mzumbe.
 
Asante sana.
ila hapo kwenye point sijakuelewa 11.5 sijui 10.5 nielezee kidogo.Au ndo zile A 5..B 4........

By the way umenipa moyo sana maana napenda hii course ya Accounting
 
A=5, B=4,....,E=1, S=0.5 Unajumlisha kutokana na matokeo yako. Wanawapanga applicants kuanzia 15 au 15.5 kwenda chini nafasi zikijaa ndio wanapiga msitari kupata cut-off ya mwaka huo. Kwa hiyo miaka hiyo miwili wamechukua hadi 10.5 na wewe uko juu ya hapo.
 
Kwahiyo hapo wanahesabu za masomo yote matano au wanachukua hayo matatu ya COMBINATION? au ni Mawili tu? kupata hizo point??
 
Watachukua kwanza COMBI (matatu) na BAM kwani wanataka uwe umefaulu maths. GS sina hakika nayo.
 
Yaani hiyo 11.5 umechukua masomo yote maana kama ni Comb tu ingekua 11.00?
 
Back
Top Bottom