AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 954
Wale ndugu warussia wakubwa balaa wana mikanda yote wameiweka chumbani wanakunywa vodka
Hawa kina paciao na mayweather hawamfikii francis Cheka au mtumla Mkubwa bahati yao kina Cheka bongo hakuna promotion kama huko mabara ulaya na amerika.
wale jamaa warusi sio wath ni mijitu
Kumbe Mayweather ni saiz yangu?
Kina Tyson wanaenda hadi 110kg,Heavy Weight lakin Mayweather ni 67Kg.