F 47 ndio hio haionekani sasa jiandae sasa kama kawaida yako kuja na news zimeua wanawake na watoto oh mara marekani hawataki amani oh mara marekani hawawapendi waarabuHakuna ndege isiyoonekana kwenye radar
Umeiona hiyo ndegeF 47 ndio hio haionekani sasa jiandae sasa kama kawaida yako kuja na news zimeua wanawake na watoto oh mara marekani hawataki amani oh mara marekani hawawapendi waarabu
Akili za maskini bhana 😂Kiburi cha mali kimeanza. Usiku huu ikimpendeza BWANA Mungu wa Majeshi aweza kumwambia mpunbavu wewe naitaka roho yako usiku huu! Mali bila hofu ya Mungu ni ubatili; akajifunze kwa Suleiman.
Kwenye suala la kijeshi, USA hana huu upuuzi kama huko kwenu BongoMakopo kwa ajili ya kupuna hela za watu
Uko jikoni au guest? nije nikuonesheUmeiona hiyo ndege
Tawire mkuu!F-47 zipo kwenye hatua za mwisho kukamilika, mwenyewe trump amezisifia Sanaaa Kwa uwezo wake wa kutoonekana kwenye rada za Aina zote duniani hii itakuwa fighter jet ya Kwanza kuweza kwenda sehemu yeyote duniani bila kuongeza mafuta
IT just a new frying kopo in new colourKwani wao urusi wanasemaje!!
Musk kaidiss sana f 35Kwenye suala la kijeshi, USA hana huu upuuzi kama huko kwenu Bongo
Hakuna ndege isiyoonekana kwenye radar,hiyo ilikua kabla urusi hawajapeleka mtu angani, uingereza hawakuona kwenye radar yao,baada ya hapo kila kipitacho angani kinaonekana kwenye radarF 47 ndio hio haionekani sasa jiandae sasa kama kawaida yako kuja na news zimeua wanawake na watoto oh mara marekani hawataki amani oh mara marekani hawawapendi waarabu
Conspiracy at its best.Why 47? Trump is the 47th POTUS.
Naona ameipa jina la uwakilishi wakeWhy 47? Trump is the 47th POTUS.
Daah aisee mbona aibu sana yaani huto tu mbao tulivyopangwa hapo ndio wazir anapigiamo na picha kabisa? Sasa hapo ikipiga mvua Moja tu hivyo vimbao vitasalimika kweli?
Trump ni tapeli na mtakatishaji hela za warusi.Trump ana hela kuliko nchi yako; Trump anajitolea kuitumikia nchi yake hahitaji mshahara wala posho.
Vipi kuhusu wewe? Unanini chief,Kuwa tajiri siyo kuwa mjuzi sana wa mambo kuliko wengine,hasa ukizangatia utajiri wake aliorithi kwa babaake una magumashi mengi
Nina hekta 130 za mpunga na ekari 15 za mahindi na bustaniVipi kuhusu wewe? Unanini chief,
Ndo zao hizo. J.J. Okocha alikuwa bingwa katika ku-dribble, lakini kwa vile hakuwa mwenzao hakupata kutangazwa sana. Chungulia YouTube uone alivyowanyanyasa kipindi kile.Hii ndege itakuwa ya kwaida sana ila itapewa promo balaa na vyombo vyao kama fox
Kwamba hazihitaji refueling? Ni nuclear powered au zinatumia Gesi ya mama kizimkazi?!F-47 zipo kwenye hatua za mwisho kukamilika, mwenyewe trump amezisifia Sanaaa Kwa uwezo wake wa kutoonekana kwenye rada za Aina zote duniani hii itakuwa fighter jet ya Kwanza kuweza kwenda sehemu yeyote duniani bila kuongeza mafuta